Marekani yatuma drone nyingine

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Pentagon imetuma Ndege nyingine isiyo na Rubani, katika Bahari Nyeusi.

Ndege hiyo ijulikanayo kama RQ - 4B Global Hawk, yenye utambulisho wa Forte 10 imeonekana ikaranda randa ndani ya bahari hiyo, sehemu karibu na ilipodondoka ile nyingine.

Huku hayo yakijili, MoD Shoigu amewapa Nishani Marubani na wahusika wote waliohusika kudondosha Ndege isiyo na Marubani
 
Wacha Uongo jamaa kaogopa
Kabadilisha Njia Kapita Mbali zaidi
Unapokuwa Shabiki Uwe na Ukweli


🇺🇸✈️🇷🇺US changed the flight routes of drones near the Crimea after the incident with the MQ-9 Reaper

Today, for the first time since the incident RQ-4 Global Hawk is flying near the peninsula, but the distance from the coast has increased significantly

 
Hiyo midege si haionekan na rada???

Sasa nyiny mnawezaje kuiona ikirandaranda huko kweusin bila kupata taarifa rasm toka pentagon wala urus
 
shoigu angejua mission ya hiyo ndege asingewapa nishani!
Watafanya kosa lingine kuitoa hiyo ndege baharini ili kuichunguza kumbe inawachunguza kwa uka ukaribu!
Ujanja sio kuwahi bali ni KUPATA!
 
imetumwa nyingine au haikutumwa???
 
Urusi imeikojolea drone ya marekani ikadondoka
 
Naona akili yako imekata MB. No network.
Kuna basha alijifanya kalewa kaanguka na kalio kategesha barabarani huku kavaa kata.k!
Msera akaona ameokota dodo!
Ile anavunja goti afaidi vutu aligeuziwa kibao na kuliwa yy kitemi!
Mfano huu ni mojawapo ya mbinu ktk Medani ya vita!
Asiye kujua hakuthamini!
 
Russia sio Zimbabwe..... Dude atapelelewa mu iran hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…