Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 883
- 1,911
Jamaa kweli Kidume,yaani hakuwasikiliza Washirika wake wa Ulaya kuanzia Macron,May mpaka Merkel.Huyu ndio mwanaume wa shoka....haangalii nani anaunga mkono anaangalia maslah yao yako waap
Wale madogo tuu...hata kjutambua Jerusalem walipinga akasimama mwenyewe kiume mpaka leoJamaa kweli Kidume,yaani hakuwasikiliza Washirika wake wa Ulaya kuanzia Macron,May mpaka Merkel.
yaan hii type nyingine kabisa..Wale madogo tuu...hata kjutambua Jerusalem walipinga akasimama mwenyewe kiume mpaka leo
Amezuiwa North Korea atakua Iran,Marekani itamwacha Urusi na China tuu.Israel peke yake inaweza kumdhibiti IranIran itapiga hatua ya kumiliki nuclear weapon very soon. Trump hataweza kuwagusa hao.
Kabla hajapiga hiyo hatua tayari atakuwa kwenye kumbukumbu za Kihistoria kama Saddam na Ghadaf.Iran itapiga hatua ya kumiliki nuclear weapon very soon. Trump hataweza kuwagusa hao.
Hahahaha..nakwambia Ayatola utamkuta vatican kwa mara ya kwanza kuleKabla hajapiga hiyo hatua tayari atakuwa kwenye kumbukumbu za Kihistoria kama Saddam na Ghadaf.