HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,949
- 102,723
Habari ambazo hazijathibitishwa zinaeleza kuwa Marekani imerudi nchini Afghanstan kwenye kambi ya Baghram baada ya kufanya makubaliano na Taliban. Hayo yameonekana baada ya Marekani kuwaachilia na kuwaondoa katika list ya magaidi sehemu ya viongozi wa Taliban.
Pia imeonekana hivyo baada ya ndege kadhaa za Marekani kuanza kutua na vifaa vya kijeshi.
Ikumbukwe pia Afghan ni rahisi katika vita dhidi ya Iran na China
Pia imeonekana hivyo baada ya ndege kadhaa za Marekani kuanza kutua na vifaa vya kijeshi.
Ikumbukwe pia Afghan ni rahisi katika vita dhidi ya Iran na China