Marekani yamuiga Magufuli kwa kutumbua wafanyakazi Hewa

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
539
642
Serikali ya Marekani imemuiga Rais Magufuli kwa kutumbua wafanyakazi hewa zaidi ya 30,000 jeshini. Hatua hiyo inafuatia kukunwa n utendaji wa Rais Magufuli katika ubanaji wa matumizi ya pesa za serikali.
Hongera Mh. Magufuli kwa Kuwa Rais wa kwanza Afrika kuigwa staili yako ha uongozi na wazungu wa marekani.

===========================

KABUL—The U.S. military has wiped more than 30,000 names of suspected ghost Afghan soldiers from its payroll, as part of a widening corruption crackdown that a top American general estimates will save the U.S. millions of dollars each month.


Major General Richard Kaiser said that as of this month, the U.S. military would pay only Afghan soldiers who were biometrically enrolled in their country’s army and had matching identity cards....




Source; lillacompany.com
 
Serikali ya Marekani imemuiga Rais Magufuli kwa kutumbua wafanyakazi hewa zaidi ya 30,000 jeshini. Hatua hiyo inafuatia kukunwa n utendaji wa Rais Magufuli katika ubanaji wa matumizi ya pesa za serikali.
Hongera Mh Magufuli kwa Kua Rais wa kwanza Afrika kuigwa staili yako ha uongozi na wazungu wa marekani.

http://www.wsj.com.lillacompany.com...ghost-soldiers-from-afghan-payroll-1484822415
Magufuli ni moto wadunia ukiacha wanafiki wachache wanamuharibia Magu ni rais wa dunia
 
Tupe uthibitisho kuwa wamemuiga magufuli, mbona nyinyi hamuwaigi kwa wao kujali maslahi ya raia wao?
 
Duu halafu wanajifanya wazalendo sana ooh USA baby wakati soldiers wanawauzia Taliban silaha zao.
Majizi hayo acha yatumbuliwe tu
 
Shein Alishindwa Zanzibar akatisha uchaguzi hewa
Gambia Jammeh alishindwa, akataka kufanya ujinga wa Shein, ECOWAS wakamtoa kamasi
 
Back
Top Bottom