kichwapanzi
Member
- Aug 30, 2016
- 50
- 23
Jambo Jema lakn cje ndio ikawa ile neo colonialism.Katika kuunga mkono jitihada za kuunga mkono sera ya elimu bure nchini Tanzania Ubalozi wa Marekeni nchini umeleta walimu 51 watakaofundisha masomo ya Sayansi, Hesabu na Mazingira kwa kipindi cha miaka miwili.
Katika hafla ya kuwaapisha walimu hao jijini Dar es Salaam, Kaimu Balozi wa Marekani Virginia Blesa amesema walimu hao watakaofanya kazi katika mikoa 22 watasaidia kupunguza tatizo la walimu wa masomo ya Sayansi nchini.
Bleisa amesema kuwa wapo walimu wengi wanatamani kufundisha kwa kujitlea nchini katika nyanja mbalimbali kupitia mpango wa kusaidia elimu ulioandaliwa na marekani kwa nchi masikini duniani.
Kwa upande wao walimu hao wamesema kuwa wanategemea wanafunzi watanufaika na elimu watakayowapa na kuomba ushirikiano kwa walimu watakaowakuta katika shule walizopangiwa.
Mmmh...ili sio jipya ni kila mwaka linafanyika..kuna peace corp,Jica na mashirka mengne kbao wanaleta waalimu kila mwaka tangua mm naaza kusima sec adi leo...sio ishu ya elimu bure-uongoKatika kuunga mkono jitihada za kuunga mkono sera ya elimu bure nchini Tanzania Ubalozi wa Marekeni nchini umeleta walimu 51 watakaofundisha masomo ya Sayansi, Hesabu na Mazingira kwa kipindi cha miaka miwili.
Katika hafla ya kuwaapisha walimu hao jijini Dar es Salaam, Kaimu Balozi wa Marekani Virginia Blesa amesema walimu hao watakaofanya kazi katika mikoa 22 watasaidia kupunguza tatizo la walimu wa masomo ya Sayansi nchini.
Bleisa amesema kuwa wapo walimu wengi wanatamani kufundisha kwa kujitlea nchini katika nyanja mbalimbali kupitia mpango wa kusaidia elimu ulioandaliwa na marekani kwa nchi masikini duniani.
Kwa upande wao walimu hao wamesema kuwa wanategemea wanafunzi watanufaika na elimu watakayowapa na kuomba ushirikiano kwa walimu watakaowakuta katika shule walizopangiwa.
Tunarudi nyuma ya wakati wa uhuru. Kitendo cha kusaidiwa waalim ni aibu jamaniKatika kuunga mkono jitihada za kuunga mkono sera ya elimu bure nchini Tanzania Ubalozi wa Marekeni nchini umeleta walimu 51 watakaofundisha masomo ya Sayansi, Hesabu na Mazingira kwa kipindi cha miaka miwili.
Katika hafla ya kuwaapisha walimu hao jijini Dar es Salaam, Kaimu Balozi wa Marekani Virginia Blesa amesema walimu hao watakaofanya kazi katika mikoa 22 watasaidia kupunguza tatizo la walimu wa masomo ya Sayansi nchini.
Bleisa amesema kuwa wapo walimu wengi wanatamani kufundisha kwa kujitlea nchini katika nyanja mbalimbali kupitia mpango wa kusaidia elimu ulioandaliwa na marekani kwa nchi masikini duniani.
Kwa upande wao walimu hao wamesema kuwa wanategemea wanafunzi watanufaika na elimu watakayowapa na kuomba ushirikiano kwa walimu watakaowakuta katika shule walizopangiwa.
Hatuna haja na waalimu wa kugundisha waalimu wa sayansi wala hii haimaaanishi kwamba walimu wetu hawana knowledge ya kutosha mpka wao waje wafanye diffusion labda ungenambia wamekuja maengineer watakao simamia project kadhaaa kushirikiana na maengineer wa tz then project zikiisha contract zishikwe na wabongo ningekuelewa Hata hivyo serikali haioneshi nia dhabiti ya uhitaji huo wa kiasi hicho cha walimu wa sayansi kwani mpka sasa kunavizazi viwili vipo mtaaa na vinawalimu wa sayansi wa kutosha wanakula vumbi kwann wasitoe ajira HIII NI SIASA THIS IS TOOOOOO MUCHNi jambo zuri kupata uzoefu. Ningeshauri walimu hawa wangepelekwa kwenye vyuo vinavyofundisha kozi za science ili kuwapa walimu wetu watarajiwa mafunzo ya science ili watakapoondoka baada ya miaka miwili watazalisha waalimu wengi wazoefu na kusambaa nchi nzima. Wanafunzi wengi watafaidika hata baada ya walimu hawa kurudi kwao marekani.
Sawa mkuu. Ni vyema kufaidika na program muhimu kama hizi kuongeza taaluma na mafunzo katika mfumo wa elimu yetu kwa kupata uzoefu kutoka kwa wakufunzi hawa, tusiwaache hivi hivi tuwatumie kwa faida ya watoto wetu baadae. Haya mambo ya viongozi wa siasa wanakwenda wakamaliza muda wao wakastaafu lkn kwa watoto muda bado wanao mwingi kuja kuijenga Tanzania ya baadae.Hatuna haja na waalimu wa kugundisha waalimu wa sayansi wala hii haimaaanishi kwamba walimu wetu hawana knowledge ya kutosha mpka wao waje wafanye diffusion labda ungenambia wamekuja maengineer watakao simamia project kadhaaa kushirikiana na maengineer wa tz then project zikiisha contract zishikwe na wabongo ningekuelewa Hata hivyo serikali haioneshi nia dhabiti ya uhitaji huo wa kiasi hicho cha walimu wa sayansi kwani mpka sasa kunavizazi viwili vipo mtaaa na vinawalimu wa sayansi wa kutosha wanakula vumbi kwann wasitoe ajira HIII NI SIASA THIS IS TOOOOOO MUCH
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] majanga tuvumiliane tatzo degree zenu udomKama Tanzania kunashida ya walimu wa science kwanini serikali haiajiri vijana waliomaliza vyuo tangu mwaka Jana ambao ni walimu wa science
Udom ndo nini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] majanga tuvumiliane tatzo degree zenu udom