Marekani yaionyesha China ubabe wa kijeshi

Marekani yaionyesha China ubabe wa kijeshi

US wahuni wanachanganya na taka za sumu. Unajua wana mitambo ya kufua umeme kwa njia ya Nuklia, sasa 'spent' radial active materials ambayo ni hatari kwa afya wanachanya humo kwenye takataka.
Dah aiseee Yani bila hivyo nadhani hilo Dili lingekua Safi Sana kwa nchi hasa kipindi hiki maana $5.2bn Ni karibu Trilioni 12 hizo za kibongo
 
Punde baada ya China kumaliza mazoezi makubwa ya kijeshi kwenye bahari ya Kusini(south China Sea) Marekani imepitisha meli yake ya kubebea ndege(aircraft carrier) huku ndege 20 chapa F-18 zikiruka na kutua kama ishara ya kuonyesha ubabe wa kijeshi kwa China

After China's massive drill, U.S. patrols disputed South China Sea
Reuters
Mungu atuepushe na janga hili la vita ya tatu ya DUNIA ,NAJUA ktk vita hiyo yawezekana wao wakawa salama kwa JINSI walivyopiga hatua kiteknolojia ,LAKINI SISI wa DUNIA ya tatu ndio tutaanza kuondoka MAPEMA!!!!
 
Nimecheka sna mkuu kwenye hizi comment:
Screenshot_2018-04-12-08-58-24.png
 
USA ana ubabe wa mdomo tuu
Vita sio yelemama mchina amefanya yake katengengeneza kisiwa kibabe na dunia haikumfanya chochote.
America hana ubabe wa vita peke yake bila kuwategemea European

Putin kabeba Crimea jumla hakuna wa kuongea tena.

Trump hana lolote zaidi ya Twitter
Nani anaetaka vita kwenye dunia ya leo
Kila nchi inatafuta mlo tu hata Africa taratibu tunaanza kujitambua
 
Back
Top Bottom