Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Watu 102,093 wameripotiwa kufariki kutokana na homa kali ya mapafu inayosababishwa na #COVID19. #Marekani ni nchi inayoongoza kwa maambukizi
Jumla ya watu 1,939,077 wameripotiwa kuwa na maambukizi, 449,480 wameripotiwa kupona katika nchi hiyo
Watu 17166 wako katika hali mbaya. Inakadiriwa kuwa watu 5,277 huwa na maambukizi kati ya watu milioni moja
#CoronaVirus imeambukizwa kwa watu 5,986,237 dunia nzima, na vifo 357,438 dunia nzima vimesababishwa na ugonjwa huo huko watu 2,456,367 wakiripotiwa kupona