zaidi:
Uingereza(UK)
Taiwan
Taiwan
Chile
Ufilipino(Phillipines)
Estonia---hilo nyekundu sijui nini hilo
Brazil
usisahau na Tanzania
natamani nikasome huko chuo...au chuo hawapewi msosi!!!binafsi naona la korea bora zaidi. proteini, vitamini kila kitu. Inavutia kwa macho pia.
nakushauri utembee uone mengi. Mimi nimeshawahi kula konokono katika hoteli moja ya wanigeria pamoja na supu liitwalo ogbono. Korea nenda ukasome urudi ututengenezee samsung phone na tablet.natamani nikasome huko chuo...au chuo hawapewi msosi!!!
Hivi mnaiita mlenda pia?? Natamani utoe picha za chakula za ki asili.Mlenda mkuu...japo Konda wa bodaboda ameiita lift ya tonge!!!
Mkuu...akitoa picha za chakula cha kiasili atakuwa ameenda nje ya mada unless kama vinatumika kama lunch ya wanafunzi shuleni!Hivi mnaiita mlenda pia?? Natamani utoe picha za chakula za ki asili.
Hivi mnaiita mlenda pia?? Natamani utoe picha za chakula za ki asili.
Likumbukwe pia lishe duni kwa kiumbe yoyote inapokua linaadhiri uerevu wake(IQ) milele. Kesho naja na picha zaidi za hizi schoil lunch. Labda uone kila picha kwa makini utoe nani mshindi. Tumia kigezo cha food group zilizoko kwenye kila sahani na sio urembo wake. Kazi kwenuHiyo picha ilikua ni kwa hisani ya Amavubi mkuu. Huu uzi unautani lakini kuna jambo la msingi sana tunatakiwa kujifunza namna ya kuwapatia watoto wetu chakula bora shuleni. Wakati mwingine tunalalamika watoto wanauele2wa mdogo na sio wabunifu kumbe njaa na uhaba wa chakula bora nao unachangia.
Wenzetu wanawekeza mapema sana sana kwenye kumjengea mtotot uwezo kimwili na kiakili. Kama serikali itaamua kubeba gharama za ada, sio mbaya kama wazazi tutaanza kuchangia chakula cha watoto ila uwepo utaratibu na usimamizi mzuri ili mradi usijekugeuka saccos ya wajanja wachache.
Tanzania
Duh mna utani kweli kweli...