The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,426
- 12,161
Huyo commander anacheza na akili zenu makobaz, sasa ww endelea kuchekaUSA hagusi pale anaujua moto wa Iran. Leo nimecheka katika ma Commander mkuu wa USA anasema Drones za Iran ni tishia kwa carrier ya
USS Abraham Lincoln
View: https://youtube.com/shorts/6SebICqwBwo?si=xj2hB1VntYrdQKUz
Israel wameanzisha jela za kuweka waisrael wanaifanyia ujasusi Iran ndani ya IsraelIran hiyo ambayo mossad anaingia na kutoka Tehran atakavyo?
Alikuambia nani kuwa Ujasusi unafanyika upande mmoja?Iran hiyo ambayo mossad anaingia na kutoka Tehran atakavyo?
Nani sasa ajichanganye, USA aliyepeleka majeshi yake middle east au Iran aliyetulia akifanya mishe zake ndani ya mipaka ya nchi yake!?Jichanganye
Acha kufananisha Iran na vitu vya kipumbavu!Venezuela walijimwambafai (in voice of lt.col retired Jakaya) hivyo hivyo kutahamaki kiongozi kanyakuliwa huku pia maeneo kibao yakiachwa kuwa majivu baada ya kushambuliwa na askari wasioonekana wa jeshi shupavu la Marekani
View: https://m.youtube.com/watch?v=s3GgPQxB2ZA
Bora huyu kaujua ukweliUSA hagusi pale anaujua moto wa Iran. Leo nimecheka katika ma Commander mkuu wa USA anasema Drones za Iran ni tishia kwa carrier ya
USS Abraham Lincoln
View: https://youtube.com/shorts/6SebICqwBwo?si=xj2hB1VntYrdQKUz
Russia and China. North Korea hamna kitu mikwaraOnly Russia, China, and North Korea are the real threat to US, and I dare to say that US will never ever attack one of this country because it will have a catastrophic consequences
Waislamu wa JF bhana!USA hagusi pale anaujua moto wa Iran. Leo nimecheka katika ma Commander mkuu wa USA anasema Drones za Iran ni tishia kwa carrier ya
USS Abraham Lincoln
View: https://youtube.com/shorts/6SebICqwBwo?si=xj2hB1VntYrdQKUz
Us na Israel hawawezi kusogea Iran ni vitisho tu, kwanza Iran kisha test Nuclear na hicho ndicho kimewachangan'ya Trump na Netanyahu. Pia China kapeleka ndege unaambiwa hizo zinazifanya ndege zote za US na Israel zikifika pale Iran kuwa blind hazipati signal yoyote ile. Anacho jidao Trump eti Iran anaomba mazungumzo, hayo si kweli yeye ndiye anaomba mazungumzo.Huyo commander anacheza na akili zenu makobaz, sasa ww endelea kucheka
If you don't know, you will know soon