Marekani: Ndege yaahirisha safari baada ya wanaume wawili wa KIISLAM kupungiana mikono wakiwa ndani ya ndege

Crew labda ilidhani Jamaa wanapeana salamu za mwishomwisho kabla ya kuiaga dunia na kukutana huko kwingine ambapo wanaamini kuna virgins wa kutosha. Acha hiyo investigation ifanyike
It's funny now not so much then when you're a victim of any form of stigmatization
 
Huo ni upuuzi! Siwangewazuia tangu wanaboard, kwanini waruhusiwe kuingia ndani kama kuna mashaka? I guess iliandaliwa kuwadhalilisha hao jamaa
 
Hii ipo hata kwenye mipaka yetu na majirani zetu... Ukivuka mpaka huku umevaa kanzu na umefuga ndevu unakaguliwa sana.
 
Back
Top Bottom