Marekani: Ndege yaahirisha safari baada ya wanaume wawili wa KIISLAM kupungiana mikono wakiwa ndani ya ndege

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
747
3,059
Capture.PNG

Wanaume wawili Waislamu nchini Marekani wametaka uchunguzi kufanywa baada ya kusema kwamba walibaguliwa kidini katika ndege moja iliokuwa ikielekea mjini Dallas. Abderraoof Alkhawaldeh na Issam Abdallah wamedai kwamba safari yao ilifutiliwa mbali kwa kuwa abiria hawakufurahia kusafiri na wanaume hao wenye imani ya dini ya Kiislamu.

Walikuwa wakisafiri kila mtu kivyake, lakini wakatambuana kupitia kundi moja la Kiislamu na kupungiana mikono wakiwa ndani ya ndege.

Ndege hiyo ilicheleweshwa na bwana Abdallah akaelekea msalani.Alipotoka mfanyakazi mmoja wa ndege alikuwa amesimama nje ya choo hicho kama ambaye alikuwa akijaribu kusikiliza kilichokuwa kikiendelea ndani.

---------
Two Muslim men have called for an investigation after they say they were "racially profiled" and the American Airlines flight to Dallas they were travelling on was cancelled.

Isam Abdallah said his flight was cancelled because the aeroplane crew was "not comfortable to fly" with him and a second passenger, Abderraoof Alkhawaldeh, on board.

Alkhawaldeh said he has been a frequent flyer since 1989 and that there was no reason for security officers or crew members to be suspicious of him.

"I have been a loyal customer since 1989, I have taken hundreds of flights ... with American Airlines," Alkhawaldeh said at a news conference organised on Thursday by the Council for American-Islamic Relations (CAIR).

"And to be treated with disrespect, suspicion, to be racially profiled ... for absolutely no reason, this is absurd, unacceptable and un-American," he said.

American Airlines defended its decision in a statement, saying the flight was "cancelled due to concerns raised by a crew member and a passenger."

"American and all of its regional partners have an obligation to take safety and security concerns raised by crew members and passengers seriously," it added.

'Discrimination against my religion'
Abdallah and Alkhawaldeh were booked to travel from Alabama to Dallas on an American Airlines flight on September 14.

According to Abdallah's account, the flight was initially delayed by 15 minutes due to maintenance issues, later on it was delayed again. During the interruption, he said, he decided to go the restroom.

"When I opened the [restroom] door, the flight attendant was [standing] by the door like she was eavesdropping," he said. "I was really shocked."

Ten minutes later the crew requested the passengers to leave the aeroplane, he said, adding that shortly after the pair was approached by a security person and later by an FBI agent.

Abdallah said he was told by the officer that a passenger and an airline staff "were not comfortable with flying with him after he "went to the restroom and flushed the toilet twice".

"It was really humiliating," he said at the news conference. "I felt discriminated against my ethnicity and my religion," he added.

Islamophobia in the US
After the experience, Alkhawaldeh said he was really concerned about his coming trips.

"I travel for a living, and the last few days I'm really worried [about] how will my next travel experience will be," he said.
"Imagine you have ... police officers around you, after you, for what? For somebody flushing in the bathroom, or somebody waving at his friend, I hope this doesn't happen again, and those responsible must be held accountable," he added.

This is not the first time Muslim passengers have alleged discrimination during flights, with activists raising fears over rising Islamophobia in the United States.

Omar Suleiman, an activist based in Dallas, said incidents like this "happens to people in our community far too often". "People want to move on from those horrific experiences, and [it] is not something that often goes reported," Suleiman, who was present at the news conference, said.

In 2016, an American social media celebrity Adam Saleh was removed from a New York-bound plane in London after speaking Arabic on the aircraft. A year earlier, a US Muslim woman Kameelah Rasheed was forced off a plane and taken for questioning. She was later allowed to fly but she missed her flight.

Source: https://www.aljazeera.com/news/2019...racially-profiled-flight-190920053406942.html
 
Ndege ya American Airlines


Kampuni ya ndege ya American Airline ilisema kwamba walisitisha ndege hiyo kufuatia 'wasiwasi uliotolewa na wafanyakazi na abiria'.
Wanaume wawili Waislamu nchini Marekani wametaka uchunguzi kufanywa baada ya kusema kwamba walibaguliwa kidini katika ndege moja iliokuwa ikielekea mjini Dallas.
Abderraoof Alkhawaldeh na Issam Abdallah wamedai kwamba safari yao ilifutiliwa mbali kwa kuwa abiria hawakufurahia kusafiri na wanaume hao.
''Ilikuwa aibu kubwa katika maisha yangu'' , bwana Abdalla aliambia maripota.
Taarifa ya kampuni hiyo ya ndege ilisema kuwa wasiwasi uliowakabili abiria wa ndege hiyo ulisababisha kufutiliwa mbali kwa safari ya wawili hao.

''Marekani na washirika wake wote wana jukumu la kutilia maanani usalama na wasiwasi wa kiusalama wa wafanyakazi na abiria'' , ilisema katika taarifa.

Ni nini kilichotokea katika ndege?
Bwana Alkhawaldeh na bwana Abdallah walitoa madai hayo katika mkutano na vyombo vya habari ulioandaliwa na baraza la uhusiano wa Waislamu wa Marekani na kutangazwa katika mtandao wa Facebook.
Mnamo tarehe 14 mwezi Septemba, wanaume wote wawili waliorodheshwa miongoni mwa abiria watakaosafiri kutoka Birmingham , Alabama kuelekea Dallas Texas katika ndege ya kampuni ya Marekani inayoendeshwa na kampuni ya ndege ya Mesa Airlines.
Walikuwa wakisafiri lkila mtu kivyake, lakini wakatambuana kupitia kundi moja la Kiislamu na kupungiana mikono wakiwa ndani ya ndege.
Mtangazaji mmoja alisema kwamba ndege hiyo ilicheleweshwa na bwana Abdallah akaelekea msalani.
Alipotoka mfanyakazi mmoja wa ndege alikuwa amesimama nje ya choo hicho kama ambaye alikuwa akijaribu kusikiliza kilichokuwa kikiendelea ndani.
Muda mfupi baadaye wafanyakazi hao waliambia abiria kwamba safari hiyo ilifutiliwa mbali na kwamba walipaswa kutoka katika ndege hiyo.
Bwana Alkhawaldeh alisema alisikia mfanyakazi mmoja akimwambia abiria hatua hiyo ilikuwa ya kiusalama.
Baada ya kutoka wawili hao wanasema kwamba walifuatwa na mtu aliyekuwa amevalia nguo za raia , maafisa waliovalia sare za kazi na baadaye na maafisa wa Ujasusi wa FBI.

Aajenti mmoja alimchukua bwana Abdallah katika chumba kimoja cha faragha na kudai kumuuliza jina lake na kazi anayofanya na kusema kwamba mzigo wake utalazimika kukaguliwa tena.
Alipouliza ni nini kilichokuwa kikiendelea , ajenti huyo alidai kwamba wafanyakazi wa kampuni hiyo ya ndege waliwaita maafisa wa polisi na kusema kwamba hawakuridhika kusafiri naye.
Sababu iliotolewa na ajenti huyo ni kwamba bwana Abdallah aliingia msalani na kupiga maji mara mbili.
Kulingana na bwana Abdalla ajenti huyo baadaye aliomba msamaha na kumwambia kwamba anaweza kwenda kupanda ndege yake .
''Nilihisi kwamba walikuwa wanabagua kabila langu na dini yangu'' , alisema bwana Abdallah.
Abiria wote baadaye walisafiri katika ndege iliofuata isipokuwa wawili hao.
Je kampuni hiyo ya ndege ilisema nini?
'Tumejizatiti kutoa uzoefu mzuri kwa kila mtu anayesafiri nasi,'' Ilisema taarifa ya kampuni hiyo ya ndege.
Wafanyakazi wetu wanashirikiana na Mesa kuangazia kisa hiki na tumewasiliana na bwana Alkhawaldeh na bwana Abdallah ili kuelewa walivyochukulia utendakazi wetu.
Kampuni hiyo ya ndege imekabiliwa na visa vya ubaguzi katika siku za nyuma.
Mapema mwaka huu kampuni hiyo iliomba msamaha baada ya kudaiwa kumwambia abiria mmoja mwanamke kuficha nguo zake ndani ya blanketi.
Na mwaka 2017, muungano wa watu wa rangi NAACP , kundi la haki za kibinadamu lilionya abiria weusi kwamba kampuni ya ndege ya American Airlines huwabagua bila heshima ama katika mazingira yasio mazuri.
 
Fanya tafiti kwa ulichokiandika

Racism iko kwa kiwango cha juu sana kwenye mataifa ya uarabuni kuliko us
Ulisikiliza njia panda ya wiki iliyopita mkuu ya bi Zawadi Ramadhan alivyokuwa anawasema waarabu?
 
Unakuta mtu sura ngumu mdomo huuoni umefichwa na midevu hujui kama amechukia au lah sasa hapo lazima uhisi kua jamaa anataka ajitoe mhanga walichokifanya nikuchukua tahadhali mapema
nadhani wkati unadrop hii comment haukuwa sawa, mybe ulikuwa stressed with somthing, drop ur comment bila kutusi dini ya mtu mwingine inawezekana pia!!
 
Back
Top Bottom