Marekani na WHO wameionya Madagascar kuachana na dawa yao ya kutibu Corona

Hivi madaktari wa tanzania wapo wap? Hamna hata mgunduzi wa dawa ya corona?
Au ndo wapo bize wanatibu tezi dume
 
Wazungu bwana. Hawataki watu wapone huu ugonjwa.
Ndo maana walikuwa wanapinga watu wasitumie dawa za asili.

Maana wanajua wakitumia wapona na hawata ogapa tena.
Nashangaa wanapigia chapuo matumizi ya chloroqwini tu, wakati kuna dawa zaidi ya 30, ambazo zimejaribishwa kutumika kwa wagonjwa na wengine wamepona.
Chroloqwini ni hatari zaidi. Usipotumia bila maelekezo ya daktari unakufa tu. Na wagonjwa wengi wekufa tu kwa matumizi ya chloroqwin.

Wengi wamepona ugonjwaa hui bila kwenda hospitali. Na wenyewe wanajua hilo.
Ugonjwa huu umekaa katika kutisha watu zaidi. Ndo maana habari mbaya zaidi ndo wanazitangaza.
Sasa hivi kuna " rank" ya nchi inayoongoza kwa maambukizi na vifo. Lakini hakuna ranki ya nchi inayoongoza kwa watu kupona.
Mwanzo walikuwa wanayangaza habati za maambukizi mapya na vifo. Watu walipoanza kuhoji kwanini waliopona hawatangazwi, ndio wakaanza kuweka.

Wakati ugonjwa umeanza kila siku tulikuwa.tunapata kutoka China. Lakini sasa hivi ni kimya. Maana China hawana hawana habari. Mbaya za kutangaza.

Kila ukiangalia habari kutoka " main stream media" za mabeberu habari kuu ni idadi kubwa ya vipo wapi imetangazwa. Ila hatujawahi kuambiwa ni nchi gani watu wamepona wengi ndani ya saa 24.
 
Unapomchukia Mzungu atleast atoa sababu kwanini unamchukia, hii habari imekaa kichuki wakati sio kweli WHO na USA hawajampiga pini Madagascar.
Wao walichofanya ni kumtahadharisha kwamba kabla ya kuitoa kwa watu wengi aifanyie utafiti zaidi kuangalia kama kweli inatibu, maana Raisi wao kasema imetibu watu 2!.
Caution urged over Madagascar coronavirus 'cure'
 
unless otherwise ni sumu na ina side effects sioni tatizo.., wanywe tu kama juice ila wasiwaambie watu inatibu Corona bali symptoms za Corona (kama vile dawa za homa zinavyomtibu mtu) kwahio hii inampa mtu ahueni wakati mwili unatengeneza antibodies..., Ni kweli Virus haina dawa wala hii sio kinga..., bali kuwaambia watu inatibu wanaweza wakabweteka na social distance kabla hatujapata chanjo
 
Nimejaribu kuwaza ni kwanin Hawa jamaa wanaikataa hi dawa?

Wanaongelea madhara ya hi dawa aakati hata dawa zao Zina side effects?

Kwa uelewa wangu wanaona haibu tuuu waafrika kuwazidi Maarifa kwenye corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameshindwa kuishawishi Dunia Haiwezekani ifanyiwe majaribio kwa watu watatu tu ndo ikidhi vigezo bado they need to work hard kuishawishi Dunia..bytheway Mwanzo Mzuri
 
Nyie wote MNA uhakika gani ??
Maana any of then could do it.Eddison na direct current yake aliangushwa kwa Tesla kuleta alternating current kwahio alikuwa na sababu nzuri ya kumkomoa Tesla kama kulipa kisasi.Pia JP Morgan aliipinga idea ya free energy for all kwasababu alitaja kupiga pesa akafikia hadi kumtosa Tesla na project yake juu kwajuu

So Mimi naina yeyote kati yao anaweza kuwa mhusika ila huo uhakika wa kuwa ni yupi sijui mnaupata wapi
na sio jp morgan ni edison aliyekua mwanzilishi wa GE
 
Baada ya Madagascar kutangaza dawa inayotibu corona "organic covid " tayari Marekani na WHO wameionya Madagascar kuachana na dawa hiyo na kama haitokuw hivyo watasitisha misaada inayoenda Madagascar kwaajili ya kupambana na corona.

Mpaka sasa visa vya corona nchini Madagascar vimeripotiwa kufika 121,huku kukiwa HAKUNA KIFO hata kimoja kinachotoana na corona.Flashback three days ago Mseven alisema Mungu anamambo mengi hawezi iangalia Uganda pekeyake wakati huo bunge likajipitishia bajeti ya wao kujilipa milioni 400 kila mmoja ili kupunguza Makasi ya corona,Trump akaona ipo haja ya kujifunza kwann Uganda hakuna vifo alipoamua kupiga cm Mseven hakupokea cm..

Katoa ulimwengu wa sasa ambayo Marekan anaripoti hadi vifo elf 3 kwasiku kwann asiunge jitihada za Rais wa Madagascar baada ya yet kutangaza kuwa dawa ipo? Kwann hawajataka hata kuifanyia majaribio na wakai modify zaidi kama hofu nikuwa ni dawa ya mitishamba? Badala yake wanaipa onyo na vitisho,kwann wogope dawa ya Madagascar ambayo imeshatibu watu 2 huku 120 wakiwa salama bila kuwepo kwa kifo hata kimoja?

Africa huu ni muda wa kuamka na kufaham vipaumbele vyetu kama bara,kama watoto wa Africa na kama wana wa Africa.Nilitegemea ktik taharuki hii Marekan au China wangeichukua kwa majaribio lakin wao wameikataa lakin wao wao wanalazimisha Chanjo kwa waafrika.

Mind you kuwa jana Rais wetu John Pombe Magufuli alipendekwza njia ya asili kwa mtanzania njia ya kujifunika njia hii ni njia ya asili inayojimuisha mimea yetu ya asili ambayo wao wakichukua ndo wanatengeneza panaldo.Tujiamini Afrika,tunaweza

#Tanzania #Tanzania Tumeshinda.

Pia soma >Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona ..source BBC swahili - JamiiForums
Ulipoanza tu habari ya Mzee Trump kumpigia simu Mseveni basi nami nika conclude kuwa wewe ni bogus!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tapambane mvuke hakuna namna hawa mabwege sio viumbe ata kama wana mazuri!
 
Cha kushangaza nini hapo Trump kupiga simu isipokelewe? Viongozi wa Afrika jinsi wana wadharau sana viongozi wa ulaya na amerika, viongozi wa Africa wana mali za kupindukia na kujiilimbikiza na hawajitangazi kwa hio Trump anaonekana masikini, japo kuna muda wanakua wapole kwa maslahi ya nchi.Ni kama darasani unakuwa wa kwanza halafu kiranja unamzidi akili,atakuamrisha na utatekeleza ili usipate adhabu, japo utakuwa unamzidi uwezo darasani.
 
Back
Top Bottom