Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
5,752
Reaction score
10,523
Ikulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa Marekani imetangaza makubaliano ya kibiashara na China baada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na China kufanyika nchini Uswisi siku ya Jumapili.

Hata hivyo, haijawa wazi mara moja kama makubaliano hayo yamefikiwa rasmi.

Waziri wa Fedha, Scott Bessent, alisema wamepiga hatua kubwa katika mazungumzo hayo na taarifa kamili itatolewa kesho. Aliongeza kuwa mazungumzo yalikuwa ya mafanikio na kwamba Rais Trump amepewa taarifa kamili.

Mwakilishi wa Biashara wa Marekani, Jamieson Greer, alisema mazungumzo ya siku mbili yalikuwa ya kujenga na walikubaliana kwa haraka, jambo linaloashiria kuwa tofauti kati yao hazikuwa kubwa kama ilivyodhaniwa.

Baada ya kutangaza hali ya dharura ya kitaifa, Rais Trump alipandisha ushuru wa bidhaa kutoka China hadi 145%. Greer alihitimisha kwa kusema wana imani kuwa makubaliano hayo yatachangia kutatua hali hiyo ya dharura.

20250512_101147.jpg
 
Yalishaanza kumshinda Marekani.
 
Marekani ametupa taulo.

Hana jipya.

Ego nyiiiingi wakati zero kabisa
 
Trump ni mafiii!

Mbwembwe zote zile zilikuwa za nini sasa?

Ajabu sasa mchina yeyealimuona Trump kama taahira flani tu,
Trump Alipoona mchina kamchunia akaazna kujibebisha kwa Xi jing ping
 
China ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
 
Hujui unachoongea ndugu, wakati mwingine kaa kimya itakusaidia.

Hebu tuambie business turnover kati ya china na Marekani ni kiasi gani. Pili tuambie balance of trade au payment zikoje? Pia tuambie anachochukua kutoka China ni asilimia ngapi ya biashara yote ya Mchina? Tupe takwimu kisha uje utuambie kama upo sahihi au la.
 
China ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
Ila mwamba umejitahidi kuandika matope!
 
Hujui chochote kaa kimya
 
Ona huyu naye🗑️🗑️
 
Back
Top Bottom