The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,396
- 1,784
Marekani ipo katika mkakati wa kuizuia Russia kuuza sulaha za kisasa aina ya su-30sm.Silaha hizo ambazo Russia imepanga kuiuzia Tehran lakini U.S inasema itakuwa inakiuka makubaliano ya usalama ya umoja wa mataifa wa mwaka jana kuhusu makubaliano ya Iran na mataifa kadhaa ya Magharibi,hii ni kutokana na kuzuia mvutano zaidi unaoweza kutokea kati ya mataifa hayo na kanda nzima ya mashariki ya kati.
U.N. Security Council Resolution 2231 yanazuia kabisa Iran kuuziwa silaha zozote ambazo ni "conventional arms" bila kuthibitishwa na baraza la usalama la umoja wa mataifa
Utawala wa Obama unaona mwenendo huo wa Putin ni kutaka kuifanya Russia kuwa Taifa lenye nguvu sana kwa mara nyingine tena na nchi hiyo kuingiza fedha zaidi baada ya vikwazo vya mda mrefu pamoja na kushuka kwa bei ya mafuta...
Hapa sijui nani anaweza kuwa mshindi.