Hakuna kitu kama hicho acha kutungaIran wana mambo ya kiswahili sana. Walisema wataifuta Israel kwenye ramani ya dunia na hiyo ilikuwa mwaka 1979 lkn hadi leo hii hamna kitu kama hicho.
Iran ni mwenye kelele na mwenye kelele hana neno. Tumewazoea sana hawa waajemi.
Walshalipiza kifo cha kamanda wao aliyeuawa yule????Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei: "If there's any attack by the enemies, whether from the US or the Zionist regime, to defend ourselves, we will attack the enemies at the same level as they attack us."
Hizibullah haijawahi kuanzisha mashambulizi bila kuchokozwa.SAQ wamejiunga na PIJ na kuanza mashambulizi uelekeo wa Israel.
Ni muda tu Hezbollah na Hamas wataanza nao kurusha vitu Israel
Tukuulize wewe maandalizi ya Iran ya kukfuta Israel kwenye uso wa dunia tangu Mwaka 1979 yamefikia wapi?Vipi maandalizi ya Israel kuishambulia Iran yamefikia wapi?
Acha kiherehere kwani nimekuuliza ww?Tukuulize wewe maandalizi ya Iran ya kukfuta Israel kwenye uso wa dunia tangu Mwaka 1979 yamefikia wapi?
Jaman asa kairan ndio kanamwambia mmarekan hvi..ha ha haa .. ayatollah anajitoa faham amuulize mwenzake sadam alijificha mtaroniIran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei: "If there's any attack by the enemies, whether from the US or the Zionist regime, to defend ourselves, we will attack the enemies at the same level as they attack us."
Jaman asa kairan ndio kanamwambia mmarekan hvi..ha ha haa .. ayatollah anajitoa faham amuulize mwenzake sadam alijificha mtaroni