Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?Sasa starlink vina uhusiano gani na twitter?? Sema hao wametafuta sababu tu ila wanaogopa twitter ikiwa free itakuwa ngumu wao kupush agenda zao za ushoga
Ni kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Mazuri yote hayo hayafuti huo ubaya.Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Pia amechochea Amani ya ushoga UlayaNi kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.
Alipeleka amani Iraq, akapeleka amani Afghanistan, akapeleka amani Somalia, akaunga mkono kupeleka amani Libya, akapeleka amani Syria na Yemen, na sasa anachochea amani pale Ukraine.
Pia Marekani amekua mfadhili wa vikundi kadhaa vinavyochochea amani duniani kama vile Islamic state na Alqaeda.
Wewe una akili sana mkuu kama umeliona hili!
Unatia huruma!!Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Nyie magaidi mgeitawala dunia hii nahisi wakristo tusingeachwa hai.Ni kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.
Alipeleka amani Iraq, akapeleka amani Afghanistan, akapeleka amani Somalia, akaunga mkono kupeleka amani Libya, akapeleka amani Syria na Yemen, na sasa anachochea amani pale Ukraine.
Pia Marekani amekua mfadhili wa vikundi kadhaa vinavyochochea amani duniani kama vile Islamic state na Alqaeda.
Wewe una akili sana mkuu kama umeliona hili!
Bumbafu kweli!!Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Iran Kuna wakiristo wengi tuNyie magaidi mgeitawala dunia hii nahisi wakristo tusingeachwa hai.
Israel waislam ni wengi kuliko wakrsto wanaishi pamoja hàkuna anayechinjwa.Nyie magaidi mgeitawala dunia hii nahisi wakristo tusingeachwa hai.
Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Nimejizuia kweli kweli kutojibu hoja yake huyo mkuu! Nimeanza kujifunza kujizuia, ila ni kugumu kweli kweli!!Ni kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.
Alipeleka amani Iraq, akapeleka amani Afghanistan, akapeleka amani Somalia, akaunga mkono kupeleka amani Libya, akapeleka amani Syria na Yemen, na sasa anachochea amani pale Ukraine.
Pia Marekani amekua mfadhili wa vikundi kadhaa vinavyochochea amani duniani kama vile Islamic state na Alqaeda.
Wewe una akili sana mkuu kama umeliona hili!
Eti mlinzi wa aman duniani, mapopoma km wew yapo meng sanaKwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Yaani marekani kuwavuruga hao jamaa imesaidia Sana duniaNi kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.
Alipeleka amani Iraq, akapeleka amani Afghanistan, akapeleka amani Somalia, akaunga mkono kupeleka amani Libya, akapeleka amani Syria na Yemen, na sasa anachochea amani pale Ukraine.
Pia Marekani amekua mfadhili wa vikundi kadhaa vinavyochochea amani duniani kama vile Islamic state na Alqaeda.
Wewe una akili sana mkuu kama umeliona hili!
We jamaa unamajibu mazuri ,Mungu akutunze uendelee kuwepo dunianiNi kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.