Baada ya kufa Kwa Osama na kukamatwa documents lundo toka kwenye maficho yake Magaidi wengine watakaoendelezea tabia yake wataendelea kukamatwa na kuwa executed extrajudicial style kama kiongozi wao, halafu watetea haki za binadamu wataendelea kulaani marekani kwa staili ya kelele za kuku hazimpati mwewe mpaka infinity- Sorry mpaka kiama.