Marekani kuivamia Kivita Saudia ama vikwazo?Anajiunga na BRCS

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,613
Naona utawala wa kifalme wanachokitafuta watakipata kwa hawa walowaweka

MAREKANI KUIVAMIA KIVITA AMA KUIWEKEA VIKWAZO SAUDI ARABIA.

Saudi Arabia kwasasa ijiandae kwa kuvamiwa ama kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na muungano wa nchi za Ulaya, NATO pamoja na Marekani.

Hii inatokana na Saudia kuachana na marekani hasa mfumo mzima wa kauli moja. Kauli moja hapa inamaanisha ni amri kutoka kwa kiranja wa dunia(marekani). Baadhi ya nchi nyingi duniani zinaonekana kuchoshwa na mfumo wa uongozi wa dunia unaofanywa na marekani mara baada ya dunia kuonekana kuingia vitani na wakati mwingine kuleta hali isiyotulia kwenye baadhi ya nchi. Marekani imekuwa ikiiongoza dunia kiubabe huku zikilazimishwa kufuata kile marekani akitakacho na kama haufuati basi unaonekana ni mkorofi na hatimaye upewa jina baya ya "gaidi" ili jamii ikuchukie na kukutenga.

Saudi Arabia ni moja kati ya nchi zinazoona kuwa zimechoshwa kwa tabia hii ya marekani. Marekani ndio mpangaji wa bei ya mafuta kwenye muungano wa nchi zinazosafirisha mafuta duniani(OPEC). Marekani aliiambia Saudia kuongeza UZALISHAJI wa mafuta kwa kukidhi dunia nzima na hii ilitamkwa mara baada ya uwekewaji wa vikwazo kwa russia. Licha ya kuongeza uzarishaji wa mafuta, marekani pia akatoa bei kwa Saudia ya kuuzwa kwa mafuta yake.

PIA SAUDI ARABIA ANAJIANDAA KUJIUNGA NA BRICS
1666164129303.jpg
 
US bila Saud Arabia hana ubavu na akisubutu kuigusa Saud Arabia ujuwe kisha.

Afu ivamie sababu gani yani kuwaonyesha watu yeye ana nguvu au?
 
Marekani akijiondoa Saudia tu, Iran anamtosha, haihitaji hata kuvamiwa
Kama wale Waasi wa Houthi wenyewe wanamtoa jasho akiwa na backing ya Marekani na Ulaya, imagine ajiondoe na Iran ndio aje mwenyewe

Anyway tukiachana na kitisho cha Iran ule Ufalme wa Saudi ni very unpopular kwa wananchi wake
Wanatokea waasi na kuwapindua wale mabwanyenye
 
Naona utawala wa kifalme wanachokitafuta watakipata kwa hawa walowaweka

MAREKANI KUIVAMIA KIVITA AMA KUIWEKEA VIKWAZO SAUDI ARABIA.

Saudi Arabia kwasasa ijiandae kwa kuvamiwa ama kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na muungano wa nchi za Ulaya, NATO pamoja na Marekani.

Hii inatokana na Saudia kuachana na marekani hasa mfumo mzima wa kauli moja. Kauli moja hapa inamaanisha ni amri kutoka kwa kiranja wa dunia(marekani). Baadhi ya nchi nyingi duniani zinaonekana kuchoshwa na mfumo wa uongozi wa dunia unaofanywa na marekani mara baada ya dunia kuonekana kuingia vitani na wakati mwingine kuleta hali isiyotulia kwenye baadhi ya nchi. Marekani imekuwa ikiiongoza dunia kiubabe huku zikilazimishwa kufuata kile marekani akitakacho na kama haufuati basi unaonekana ni mkorofi na hatimaye upewa jina baya ya "gaidi" ili jamii ikuchukie na kukutenga.

Saudi Arabia ni moja kati ya nchi zinazoona kuwa zimechoshwa kwa tabia hii ya marekani. Marekani ndio mpangaji wa bei ya mafuta kwenye muungano wa nchi zinazosafirisha mafuta duniani(OPEC). Marekani aliiambia Saudia kuongeza UZALISHAJI wa mafuta kwa kukidhi dunia nzima na hii ilitamkwa mara baada ya uwekewaji wa vikwazo kwa russia. Licha ya kuongeza uzarishaji wa mafuta, marekani pia akatoa bei kwa Saudia ya kuuzwa kwa mafuta yake.

PIA SAUDI ARABIA ANAJIANDAA KUJIUNGA NA BRICSView attachment 2391758
Kazi kwenu pro NATO. Mlichokuwa mnamsema Russia vibaya sasahivi huyo bwana wenu ndio anakwenda kufanya, sijui mtakija na ngonjera gani??
 
Naona utawala wa kifalme wanachokitafuta watakipata kwa hawa walowaweka

MAREKANI KUIVAMIA KIVITA AMA KUIWEKEA VIKWAZO SAUDI ARABIA.

Saudi Arabia kwasasa ijiandae kwa kuvamiwa ama kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na muungano wa nchi za Ulaya, NATO pamoja na Marekani.

Hii inatokana na Saudia kuachana na marekani hasa mfumo mzima wa kauli moja. Kauli moja hapa inamaanisha ni amri kutoka kwa kiranja wa dunia(marekani). Baadhi ya nchi nyingi duniani zinaonekana kuchoshwa na mfumo wa uongozi wa dunia unaofanywa na marekani mara baada ya dunia kuonekana kuingia vitani na wakati mwingine kuleta hali isiyotulia kwenye baadhi ya nchi. Marekani imekuwa ikiiongoza dunia kiubabe huku zikilazimishwa kufuata kile marekani akitakacho na kama haufuati basi unaonekana ni mkorofi na hatimaye upewa jina baya ya "gaidi" ili jamii ikuchukie na kukutenga.

Saudi Arabia ni moja kati ya nchi zinazoona kuwa zimechoshwa kwa tabia hii ya marekani. Marekani ndio mpangaji wa bei ya mafuta kwenye muungano wa nchi zinazosafirisha mafuta duniani(OPEC). Marekani aliiambia Saudia kuongeza UZALISHAJI wa mafuta kwa kukidhi dunia nzima na hii ilitamkwa mara baada ya uwekewaji wa vikwazo kwa russia. Licha ya kuongeza uzarishaji wa mafuta, marekani pia akatoa bei kwa Saudia ya kuuzwa kwa mafuta yake.

PIA SAUDI ARABIA ANAJIANDAA KUJIUNGA NA BRICSView attachment 2391758
Dunia bila utaratibu mmoja tutarud miaka ya world wars kila baada miaka 10 , utawala wa USA kwa miaka 50 dunia haijaingia vita vikubwa vyovyote na kwavile mwanadam haridhiki bas wanaitaka biopolar world na tusubir tuone utamu wa biopolar world , dunia moja haiez tawaliwa na kila mtu lzma iwepo sauti moja mbali na hapo tutaishia vitani tu kila siku
 
Hivi wewe unaakili kweli?kuna nchi imepigana Vita vingi kama Marekani Kwa wakati huu?huu ndo mwisho wa ushawishi duniani wa marekani Bora kila nchi iwe na sauti kuliko marekani ajifanye kuwa mkubwa wa Kila Kwanza kasababisha Vita uarabuni na afrika.
 
Naona utawala wa kifalme wanachokitafuta watakipata kwa hawa walowaweka

MAREKANI KUIVAMIA KIVITA AMA KUIWEKEA VIKWAZO SAUDI ARABIA.

Saudi Arabia kwasasa ijiandae kwa kuvamiwa ama kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na muungano wa nchi za Ulaya, NATO pamoja na Marekani.

Hii inatokana na Saudia kuachana na marekani hasa mfumo mzima wa kauli moja. Kauli moja hapa inamaanisha ni amri kutoka kwa kiranja wa dunia(marekani). Baadhi ya nchi nyingi duniani zinaonekana kuchoshwa na mfumo wa uongozi wa dunia unaofanywa na marekani mara baada ya dunia kuonekana kuingia vitani na wakati mwingine kuleta hali isiyotulia kwenye baadhi ya nchi. Marekani imekuwa ikiiongoza dunia kiubabe huku zikilazimishwa kufuata kile marekani akitakacho na kama haufuati basi unaonekana ni mkorofi na hatimaye upewa jina baya ya "gaidi" ili jamii ikuchukie na kukutenga.

Saudi Arabia ni moja kati ya nchi zinazoona kuwa zimechoshwa kwa tabia hii ya marekani. Marekani ndio mpangaji wa bei ya mafuta kwenye muungano wa nchi zinazosafirisha mafuta duniani(OPEC). Marekani aliiambia Saudia kuongeza UZALISHAJI wa mafuta kwa kukidhi dunia nzima na hii ilitamkwa mara baada ya uwekewaji wa vikwazo kwa russia. Licha ya kuongeza uzarishaji wa mafuta, marekani pia akatoa bei kwa Saudia ya kuuzwa kwa mafuta yake.

PIA SAUDI ARABIA ANAJIANDAA KUJIUNGA NA BRICSView attachment 2391758
Saudi Arabia inaelekea hana tena nia ya kuendelea kuitegemea Marekani wala kuendelea kuwa rafiki nao. Kwenye mkutano wa uwekezaji kaialika india, china, urusi lakini marekani hajaalikwa.
Nchi zimeanza wachoka hawa wamarekani.
Kila chenye mwanzo kina mwisho sidhani kama marekani anaweza ivamia saudia maana atapigana na wangapi sasa?
 
Tawala nyingi za kifalme hata na Uingereza ndio hivyo tena zinaelekea kutokomea ila ya Saudi Arabia ndio itakuwa ya mapema zaidi kutokomea.

Ni serikali ya kikatili na ya kiukoo na imefanya mauaji mengi na makubwa katika nchi hiyo ikijificha nyuma ya pazia ya dini wakati ni uongo mtupu.

Wananchi wengi wa Saudi Arabia leo hii ni wasomi na wameshatembelea sana nchi za magharibi na wanajua fika kwamba utamaduni wa kale wa kiarabu hauna kabisa maana ktk dunia ya leo pia wanatambua kwamba dini ni utamaduni tu na kwamba hakuna dini iliyoletwa na mwenyezi Mungu ila ni mambo ya wanadamu tu.

Dhana hiyo ndio inafanya waarabu wengi kupenda kukimbilia nchi za magharibi ili wawe huru na wafanye mambo yao kadri wapendavyo.
 
US ndo tatizo unawekaje vikwazo kwa wese la Urusi mzalishaji mkubwa wa mafuta lakini gesi ambayo ni tegemeo la Ulaya hakuiwekea vikwazo,ili Ulaya washirika wake wasiumie!,Saud ashikamane na Opec kuweka msimamo mmoja.
 
Naona utawala wa kifalme wanachokitafuta watakipata kwa hawa walowaweka

MAREKANI KUIVAMIA KIVITA AMA KUIWEKEA VIKWAZO SAUDI ARABIA.

Saudi Arabia kwasasa ijiandae kwa kuvamiwa ama kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na muungano wa nchi za Ulaya, NATO pamoja na Marekani.

Hii inatokana na Saudia kuachana na marekani hasa mfumo mzima wa kauli moja. Kauli moja hapa inamaanisha ni amri kutoka kwa kiranja wa dunia(marekani). Baadhi ya nchi nyingi duniani zinaonekana kuchoshwa na mfumo wa uongozi wa dunia unaofanywa na marekani mara baada ya dunia kuonekana kuingia vitani na wakati mwingine kuleta hali isiyotulia kwenye baadhi ya nchi. Marekani imekuwa ikiiongoza dunia kiubabe huku zikilazimishwa kufuata kile marekani akitakacho na kama haufuati basi unaonekana ni mkorofi na hatimaye upewa jina baya ya "gaidi" ili jamii ikuchukie na kukutenga.

Saudi Arabia ni moja kati ya nchi zinazoona kuwa zimechoshwa kwa tabia hii ya marekani. Marekani ndio mpangaji wa bei ya mafuta kwenye muungano wa nchi zinazosafirisha mafuta duniani(OPEC). Marekani aliiambia Saudia kuongeza UZALISHAJI wa mafuta kwa kukidhi dunia nzima na hii ilitamkwa mara baada ya uwekewaji wa vikwazo kwa russia. Licha ya kuongeza uzarishaji wa mafuta, marekani pia akatoa bei kwa Saudia ya kuuzwa kwa mafuta yake.

PIA SAUDI ARABIA ANAJIANDAA KUJIUNGA NA BRICSView attachment 2391758
Putin akiendelea kuwepo sijuwi. Yajayo ni mazito zaidi
 
Mdogo mdogo nguvu ya marekani inapotea

Soon Saudi nao wataanza kuuza mafuta kwa hela yao. Hivi inaitwaje sijui

Marekani analo safari hii
 
Katazame documentary inayoitwa The secret of seven sisters.

Ndio uje hapa ubwabwaje.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom