Marekani kinara unyanyasaji Wa informers

Geniuss

Member
Joined
Jan 19, 2019
Posts
28
Reaction score
202
Naandika haya si kuitetea serikali ya Tanzania Kwa tuhuma za kunyanyasa waandishi .
Edward Snowden, former intelligence agent Wa USA alikimbilia Russia baada ya kuvujisha taarifa kuwa serikal ya Marekan huwarekod raia wake ,na hata viongoz Toka mataifa Rafiki kama ufaransa,uk na ujeruman.
Taarifa hizo zilizusha taharuki kubwa sana si tu Marekan Bali hata Kwa mataifa Rafiki ya Marekan, aliyevujisha taarifa hizo alianza kusakwa na Marekan na hatimaye akapata hifadhi ya kisiasa Urusi.
Julian Asange mmiliki au mwanzilishi Wa mtandao Wa whistle blowers maarufu dunian week leaks alikamatwa na serikal ya Marekan hivi karibuni baada ya kukaa ubaroz Wa Ecuador inchin uingereza Kwa muda mrefu sana ,kosa la Julian ni kuvujisha taarifa za mafisadi wakubwa dunian, kuvujisha mipango ovu ya watawala dunian etc, katika Hali ya kawaida tulitarajia Marekan iunge mkono juhudi za week leaks laki hao hao wameshirikiana na Sweden kumtengenezea kesi za ubakaji etc.
Mwandishi Wa habar kutoka Saud Arabia Kasshog ameuawa na serikali ya Saud Arabia,marekan Kwa Kua ana mkataba mnono Wa kuuza siraha Saudia kashindwa hata kuweka sanctions Kwa mwana mfalme MBS.
Trump Ame veto maamuzi ya Congress kutaka Marekan usiuze siraha Saudia.
Ndugu zangu wa TZ ts about business dunian ,awamu ya tano wanafanya baadhi ya mambo ya hivyo sana fine,lakin wanafanya mema mengi sana pia.
 
Julian Asange mmiliki au mwanzilishi Wa mtandao Wa whistle blowers maarufu dunian week leaks alikamatwa na serikal ya Marekan hivi karibuni baada ya kukaa ubaroz Wa equator inchin uingereza Kwa muda mrefu sana ,kosa la Julian ni kuvujisha taarifa za mafisadi wakubwa dunian, kuvujisha mipango ovu ya watawala dunian etc, katika Hali ya kawaida tulitarajia Marekan iunge mkono juhudi za week leaks laki hao hao wameshirikiana na Sweden kumtengenezea kesi za ubakaji etc.
Mwandishi Wa habar kutoka Saud Arabia Kasshog ameuawa na serikali ya Saud Arabia,marekan Kwa Kua ana mkataba mnono Wa kuuza siraha Saudia kashindwa hata kuweka sanctions Kwa mwana mfalme MBS.
Trump Ame veto maamuzi ya Congress kutaka Marekan usiuze siraha Saudia.
Ndugu zangu wa TZ ts about business dunian ,awamu ya tano wanafanya baadhi ya mambo ya hivyo sana fine,lakin wanafanya mema mengi sana pia.
Huko Egypt kuna mwandishi wa Aljezzira yupo kifungoni mwaka wa 3 lakini hakuna nchi yeyote ya magharabi imeongea lolote
 
Nchi hizi za Magahribi na Ulaya, shida yao kutokee machafuko kupitia wanaowalipa hela kama hao akina Zitto, Kabendera, baadhi ya wapinzani na baadhi ya editors wa magazeti ili machafuko yakitokea waibe vizuri rasilimali za nchi zenye mali nyingi kupitia vibaraka wao.. Ukingalia Congo DRC ni hizi nchi zinachochea machafuko huku wakiiba madini mengi..
 
Vipi umeshikwa na tumbo la kuhala au? Maana unakimbia kimbia mpaka umepita choo!!
Naandika haya si kuitetea serikali ya Tanzania Kwa tuhuma za kunyanyasa waandishi .
Edward Snowden, former intelligence agent Wa USA alikimbilia Russia baada ya kuvujisha taarifa kuwa serikal ya Marekan huwarekod raia wake ,na hata viongoz Toka mataifa Rafiki kama ufaransa,uk na ujeruman.
Taarifa hizo zilizusha taharuki kubwa sana si tu Marekan Bali hata Kwa mataifa Rafiki ya Marekan, aliyevujisha taarifa hizo alianza kusakwa na Marekan na hatimaye akapata hifadhi ya kisiasa Urusi.
Julian Asange mmiliki au mwanzilishi Wa mtandao Wa whistle blowers maarufu dunian week leaks alikamatwa na serikal ya Marekan hivi karibuni baada ya kukaa ubaroz Wa Ecuador inchin uingereza Kwa muda mrefu sana ,kosa la Julian ni kuvujisha taarifa za mafisadi wakubwa dunian, kuvujisha mipango ovu ya watawala dunian etc, katika Hali ya kawaida tulitarajia Marekan iunge mkono juhudi za week leaks laki hao hao wameshirikiana na Sweden kumtengenezea kesi za ubakaji etc.
Mwandishi Wa habar kutoka Saud Arabia Kasshog ameuawa na serikali ya Saud Arabia,marekan Kwa Kua ana mkataba mnono Wa kuuza siraha Saudia kashindwa hata kuweka sanctions Kwa mwana mfalme MBS.
Trump Ame veto maamuzi ya Congress kutaka Marekan usiuze siraha Saudia.
Ndugu zangu wa TZ ts about business dunian ,awamu ya tano wanafanya baadhi ya mambo ya hivyo sana fine,lakin wanafanya mema mengi sana pia.
 
Naandika haya si kuitetea serikali ya Tanzania Kwa tuhuma za kunyanyasa waandishi .
Edward Snowden, former intelligence agent Wa USA alikimbilia Russia baada ya kuvujisha taarifa kuwa serikal ya Marekan huwarekod raia wake ,na hata viongoz Toka mataifa Rafiki kama ufaransa,uk na ujeruman.
Taarifa hizo zilizusha taharuki kubwa sana si tu Marekan Bali hata Kwa mataifa Rafiki ya Marekan, aliyevujisha taarifa hizo alianza kusakwa na Marekan na hatimaye akapata hifadhi ya kisiasa Urusi.
Julian Asange mmiliki au mwanzilishi Wa mtandao Wa whistle blowers maarufu dunian week leaks alikamatwa na serikal ya Marekan hivi karibuni baada ya kukaa ubaroz Wa Ecuador inchin uingereza Kwa muda mrefu sana ,kosa la Julian ni kuvujisha taarifa za mafisadi wakubwa dunian, kuvujisha mipango ovu ya watawala dunian etc, katika Hali ya kawaida tulitarajia Marekan iunge mkono juhudi za week leaks laki hao hao wameshirikiana na Sweden kumtengenezea kesi za ubakaji etc.
Mwandishi Wa habar kutoka Saud Arabia Kasshog ameuawa na serikali ya Saud Arabia,marekan Kwa Kua ana mkataba mnono Wa kuuza siraha Saudia kashindwa hata kuweka sanctions Kwa mwana mfalme MBS.
Trump Ame veto maamuzi ya Congress kutaka Marekan usiuze siraha Saudia.
Ndugu zangu wa TZ ts about business dunian ,awamu ya tano wanafanya baadhi ya mambo ya hivyo sana fine,lakin wanafanya mema mengi sana pia.
Na nyinyi mwanyanyase informer siyo raia wasio na hatia.
 
Unadishi mbovu sana kama ilivyo akili yako
 
Nashangaa kuna wangese humu hawajui hata mataifa ya marekani yanatumiaje fake diplomacy na kuendelea kuiona minyumbu ya Africa isiyoenda shule ikinyukana yenyewe kama ambavyo viashiria vinaanza kujionyesha
 
Back
Top Bottom