Huu ni ujinga mkubwa wa wavaa kobazi.. Mungu hawezi kuhusika na haya mambo.Matarajio ni kuwa hali yake hiyo ni mpango wa Allah kuwadhihirishia waja wake kuwa hakuna aliye mkuu na mwenye nguvu kuliko yeye.
Kachukua madaraka gani? una mahaba yasiyo na kipimopamoja na Iran kuchukua madaraka
Yaani marekani aombe makubaliano kwa Houthis? Mkuu uko kwenye Illusion kubwa sana/Kutapatapa kwa Marekani mashariki ya kati kumedhihiri kwa kulazimika kwake kufanya makubaliano mpaka na kikosi cha wanamgambo maskini wa Haouth ili kusitisha vita baina yao
Una vituko wewe babuKifo katika maisha ya dunia ni kitu cha lazima ambacho humpata kila kiumbe bila uchaguzi.Wako wanaokufa wachanga,wazee na wakongwe.
Vifo navyo hutofautiana kutokana kwa namna nyingi sana.Kilicho maarufu ni kuwa vifo vya watu waovu mara nyingi huambatana na kutapatapa sana muda unapokaribia na wakati wa kifo chenyewe.
Marekani si miongoni mwa tawala kongwe katika historia ya dunia lakini katika umri wake mfupi limeshiriki kwenye kutenda maovu mengi ndio maana muda wake wa kifo unavyokaribia imekuwa ikitapatapa mno.Matarajio ni kuwa hali yake hiyo ni mpango wa Allah kuwadhihirishia waja wake kuwa hakuna aliye mkuu na mwenye nguvu kuliko yeye.
Kwa sasa taifa hilo kila linapoelekea ni balaa kwake.Kutoka hawapendi wakaonekana ni wadogo na kubaki kwao ndani ya mizozo hiyo ndio kunawamaliza nguvu kwa kasi mno.
Kwa mujibu wa Jerusalem post Marekani kwa sasa inaweka kwenye mezani ni kilichobora kati ya kufunga kambi zake za kijeshi zilizosambaa duniani kuelekeza nguvu maneneo ya Asia karibu na China na Urusi.
Wameshaanza kuondoka kinamna mashariki ya kati lakini kuondoka moja kwa moja wanasema watawapa nguvu magaidi pamoja na Iran kuchukua madaraka.Kitendo hicho kitapelekea kufa kwa Israel ambayo wamekuwa wakiilinda kwa hali na mali.Kubaki kwake imekuwa ni gharama kubwa sana wakati uchumi umeyumba sana.
Kutapatapa kwa Marekani mashariki ya kati kumedhihiri kwa kulazimika kwake kufanya makubaliano mpaka na kikosi cha wanamgambo maskini wa Haouth ili kusitisha vita baina yao.Vile vile katika kulazimisha kusitishwa vita vya siku 12 vya Israel na Iran ambapo yenyewe ilikuwa ikiisaidia Israel.
Ili kuokoa pesa na kukuza uchumi wake raisi Trump ameingia vitani vya kibiashara na mataifa karibu yote ya dunia mpaka mataifa marafiki.Washauri wa kiuchumi wamegundua hatua hizo hazileti nafuu ila kuzidisha shinikizo la kiuchumi ndani ya nchi.
Tukija upande wa vita vya Ukraine na Urusi.Kiukweli Marekani imeishiwa na cha kuwasaidia waukraine washinde vita na Urusi.Kuondoka hawawezi wanaona wataaibika na kuonekana wao ni wadogo.Kubaki kwake ndio ni balaa zaidi kwani uchumi na silaha vimeisha.
Matendo yote ya Marekani kwa sasa ni kutapatapa katika kifo.Trump ambaye ndiye kiongozi kwa kipindi hiki amekuwa na hasira na ugomvi na kila mtu mpaka washauri wake wa ndani.
Voices from the Arab press: Withdrawal of US forces from the region is off the table
Ni wakati sasa wa wewe kula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.Wewe uana akili kiasi gani kichwani kwako.Kitu hata miezi 2 bado umeshasahau.
Shekh adriz na Jagina akimuona huyo mtu anatamani hadi kuwa mkeweNI wakati sasa wa wewe kula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Haya faster nenda ukale kiapo cha utii.
View attachment 3430796
Hahaha yani hao hawajala tu yani wamebughia kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS.
Empire do falls, lakin si kirahisi na si muda mfupi sanaKifo katika maisha ya dunia ni kitu cha lazima ambacho humpata kila kiumbe bila uchaguzi.Wako wanaokufa wachanga,wazee na wakongwe.
Vifo navyo hutofautiana kutokana kwa namna nyingi sana.Kilicho maarufu ni kuwa vifo vya watu waovu mara nyingi huambatana na kutapatapa sana muda unapokaribia na wakati wa kifo chenyewe.
Marekani si miongoni mwa tawala kongwe katika historia ya dunia lakini katika umri wake mfupi limeshiriki kwenye kutenda maovu mengi ndio maana muda wake wa kifo unavyokaribia imekuwa ikitapatapa mno.Matarajio ni kuwa hali yake hiyo ni mpango wa Allah kuwadhihirishia waja wake kuwa hakuna aliye mkuu na mwenye nguvu kuliko yeye.
Kwa sasa taifa hilo kila linapoelekea ni balaa kwake.Kutoka hawapendi wakaonekana ni wadogo na kubaki kwao ndani ya mizozo hiyo ndio kunawamaliza nguvu kwa kasi mno.
Kwa mujibu wa Jerusalem post Marekani kwa sasa inaweka kwenye mezani ni kilichobora kati ya kufunga kambi zake za kijeshi zilizosambaa duniani kuelekeza nguvu maneneo ya Asia karibu na China na Urusi.
Wameshaanza kuondoka kinamna mashariki ya kati lakini kuondoka moja kwa moja wanasema watawapa nguvu magaidi pamoja na Iran kuchukua madaraka.Kitendo hicho kitapelekea kufa kwa Israel ambayo wamekuwa wakiilinda kwa hali na mali.Kubaki kwake imekuwa ni gharama kubwa sana wakati uchumi umeyumba sana.
Kutapatapa kwa Marekani mashariki ya kati kumedhihiri kwa kulazimika kwake kufanya makubaliano mpaka na kikosi cha wanamgambo maskini wa Haouth ili kusitisha vita baina yao.Vile vile katika kulazimisha kusitishwa vita vya siku 12 vya Israel na Iran ambapo yenyewe ilikuwa ikiisaidia Israel.
Ili kuokoa pesa na kukuza uchumi wake raisi Trump ameingia vitani vya kibiashara na mataifa karibu yote ya dunia mpaka mataifa marafiki.Washauri wa kiuchumi wamegundua hatua hizo hazileti nafuu ila kuzidisha shinikizo la kiuchumi ndani ya nchi.
Tukija upande wa vita vya Ukraine na Urusi.Kiukweli Marekani imeishiwa na cha kuwasaidia waukraine washinde vita na Urusi.Kuondoka hawawezi wanaona wataaibika na kuonekana wao ni wadogo.Kubaki kwake ndio ni balaa zaidi kwani uchumi na silaha vimeisha.
Matendo yote ya Marekani kwa sasa ni kutapatapa katika kifo.Trump ambaye ndiye kiongozi kwa kipindi hiki amekuwa na hasira na ugomvi na kila mtu mpaka washauri wake wa ndani.
Voices from the Arab press: Withdrawal of US forces from the region is off the table
Dalili zako ni zipi kwani hilo jambo hutokea sana.Empire do falls, lakin si kirahisi na si muda mfupi sana
Usifananishe kuanguka kwa serikali ya afghanistan na serikal ya marekani? Hizi ni nchi mbili tofauti , zenye nguvu na ushawishi tofauti na uchumi tofautiDalili zako ni zipi kwani hilo jambo hutokea sana.
Miaka michache iliyopita serikali ya Afghanistan iliyofadhiliwa na Marekani ilianguka katika kipindi cha wiki moja na nusu tu.Kizuri zaidi ni kuwa hata huyo mfadhili mwenyewe iakabidi akimbie awache vitu nyeti nyuma.
Mambo yanapokataa hakuna cha taifa kubwa wala nini.Na kinachoelekea kuipata Marekani ni hicho hicho.Usifananishe kuanguka kwa serikali ya afghanistan na serikal ya marekani? Hizi ni nchi mbili tofauti , zenye nguvu na ushawishi tofauti na uchumi tofauti
Kuangusha empire ya marekani si one day job kama unavyodhani
Nimeishia pale ulipotaja Allah, nikajua huyu atakuwa kobazi tu. Anyway ni mawazo /maoni yako na una uhuru wa kuyatoaKifo katika maisha ya dunia ni kitu cha lazima ambacho humpata kila kiumbe bila uchaguzi.Wako wanaokufa wachanga,wazee na wakongwe.
Vifo navyo hutofautiana kutokana kwa namna nyingi sana.Kilicho maarufu ni kuwa vifo vya watu waovu mara nyingi huambatana na kutapatapa sana muda unapokaribia na wakati wa kifo chenyewe.
Marekani si miongoni mwa tawala kongwe katika historia ya dunia lakini katika umri wake mfupi limeshiriki kwenye kutenda maovu mengi ndio maana muda wake wa kifo unavyokaribia imekuwa ikitapatapa mno.Matarajio ni kuwa hali yake hiyo ni mpango wa Allah kuwadhihirishia waja wake kuwa hakuna aliye mkuu na mwenye nguvu kuliko yeye.
Kwa sasa taifa hilo kila linapoelekea ni balaa kwake.Kutoka hawapendi wakaonekana ni wadogo na kubaki kwao ndani ya mizozo hiyo ndio kunawamaliza nguvu kwa kasi mno.
Kwa mujibu wa Jerusalem post Marekani kwa sasa inaweka kwenye mezani ni kilichobora kati ya kufunga kambi zake za kijeshi zilizosambaa duniani kuelekeza nguvu maneneo ya Asia karibu na China na Urusi.
Wameshaanza kuondoka kinamna mashariki ya kati lakini kuondoka moja kwa moja wanasema watawapa nguvu magaidi pamoja na Iran kuchukua madaraka.Kitendo hicho kitapelekea kufa kwa Israel ambayo wamekuwa wakiilinda kwa hali na mali.Kubaki kwake imekuwa ni gharama kubwa sana wakati uchumi umeyumba sana.
Kutapatapa kwa Marekani mashariki ya kati kumedhihiri kwa kulazimika kwake kufanya makubaliano mpaka na kikosi cha wanamgambo maskini wa Haouth ili kusitisha vita baina yao.Vile vile katika kulazimisha kusitishwa vita vya siku 12 vya Israel na Iran ambapo yenyewe ilikuwa ikiisaidia Israel.
Ili kuokoa pesa na kukuza uchumi wake raisi Trump ameingia vitani vya kibiashara na mataifa karibu yote ya dunia mpaka mataifa marafiki.Washauri wa kiuchumi wamegundua hatua hizo hazileti nafuu ila kuzidisha shinikizo la kiuchumi ndani ya nchi.
Tukija upande wa vita vya Ukraine na Urusi.Kiukweli Marekani imeishiwa na cha kuwasaidia waukraine washinde vita na Urusi.Kuondoka hawawezi wanaona wataaibika na kuonekana wao ni wadogo.Kubaki kwake ndio ni balaa zaidi kwani uchumi na silaha vimeisha.
Matendo yote ya Marekani kwa sasa ni kutapatapa katika kifo.Trump ambaye ndiye kiongozi kwa kipindi hiki amekuwa na hasira na ugomvi na kila mtu mpaka washauri wake wa ndani.
Voices from the Arab press: Withdrawal of US forces from the region is off the table
Mataifa yote hayapo sawa kaka, mbona liko waziMambo yanapokataa hakuna cha taifa kubwa wala nini.Na kinachoelekea kuipata Marekani ni hicho hicho.
Ukakuta namba zikoje.Mark Twain said "The reports of my death are greatly exaggerated".
This saying applies here.
Nilikuwa najiuliza, hivi huyu Trump kwa nini ana kiburi hivi kwenye tariffs? Huo uchumi wa Marekani kweli ni mkubwa hivyo kama anavyounadi?
Nikaenda kuangalia namba. Ndipo nikaelewa kwa nini Marekani ni superpower na Trump anakuwa na nyodo hivyo.
Kaangalie mwenyewe nikikuambia mimi unaweza kusema nina mahaba kwa sababu mimi Mmarekani πππ.Ukakuta namba zikoje.