Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Hata obama nae ameshindwa kulizungumzia kwa kina swala hili kuliko alivyolizungumzia pale vijana walivyopigwa risasi.Yaani Hili Swala Limegusa Mpaka Africa Ndo maana Unaona Hakuna Thread za KuwaPonda Waliowaua Hao Askari yan kila Mtu anaona Ni Sawa Tu......
!!marekani huandaa vikundi vya kigaidi kwa malengo maalum na yenye faida kwa upande waoAsalam Aleikum
Hali katika miji mbali mbali ya marekani kwa sasa sio shwari,watu wamekuwa wakiishi kwa wasiwasi mkubwa kutokana na Machafuko yaliyotokea huko Dallas baada ya Vijana wawili weusi Kupigwa risasi na polisi Weupe. Kitendo hicho kimewafanya watu weusi kuchukua Sheria mkononi na "kulipiza" KISASI kwa kuwaua Polisi "zaidi" ya wanne kwa kutumia wadunguaji waliokuwa wamekaa katika majengo marefu. Kwa jinsi hali inavyoendelea nina wasiwasi kwamba marekani ipo katika hatari kubwa sana ya kutengeneza MAGAIDI hatari sana ambao wataifanya nchi itikisike kiusalama. wataalam wa mambo ya kigaidi wanasema kuwa moja kati ya sababu zinazopelekea mtu kuwa gaidi ni pamoja na "Chuki" na hali ya kuona kuwa unaonewa(kubaguliwa) na hali hii ndiyo iliyopo marekani kwa sasa. Watu weusi japokuwa wenyewe kwa wenyewe wanauana lakini linapokuja swala la polisi weupe "Kuwadhulumu" watu weusi hawako tayari kulipuuzia. Soon tutasikia Makundi ya kigaidi ya wamarekani weusi nayajitoa muhanga "Kama" hali hii haitadhibitiwa
Nawasilisha
kitakachotokea ni kwamba weusi ndio watapata tabu zaidi kuliko wazunguWafe tu maana wanaanza ujinga wa kubagua rangi.
Obama kawekwa na weupe pale lazma awatetee!kibaya nnachokiona blackies ni watu wakorofi sana na ndo wabaguzi nikimaanisha wanawabagua wazungu sababu kuna baadhi ya mitaa wazungu hawatakiwi kabisa hayumkini uwe mzaliwa wa hapo!ila tofauti iliyopo duniani dharau adharauliwe black ila white itaonekana c ubaguzi sbb imejengeka mweusi kujiona anadhaurika!mbali na hilo blackie anataka akishika bunduki asinyanganywe akinyanganywa kwa kuuwawa inakuwa uonevu ila marekani wajanja sana sasa watawatumia fbi na sheriff weusi watatwangana risasi wao wao tuone nani aulaumiwe
Asanteee yaan jamaa anataka kutuaminisha kwamba wazungu wanabaguliwa na watu weusi!??daaah hii ni aibu kuwa kibaraka wa wazungu !!!Wewe ni jinga.....huelewi rascim wanayofanyiwa watu weusi. Haya yote hayajatoea overnight . Hii ni result ya miaka mingi yauonevu wanaofanyiwa African America. Uliona Pres Obama alichokisema baada ya tukio la juzi? Ungekuwa US wewe ni snitch mkubwa unatetea oppressors.
Duh mkuu sijui watu wengine wana akili gani kwa kweli sijui ndio kujipendekeza kwa wazungu auAsanteee yaan jamaa anataka kutuaminisha kwamba wazungu wanabaguliwa na watu weusi!??daaah hii ni aibu kuwa kibaraka wa wazungu !!!
Kwakweli ni aibu kuna mpaka sasa kuna vijana wanona wazungu wapo sahihi kwa kila jamboMavibaraka ya wazungu yapo mengi sana. Wewe mtu anaabudu Mungu mzungu ataanzaje kufurukuta.
Subiri kidogo tu mkuu wanakuja sasa hivi kuwatetea..Kwakweli ni aibu kuna mpaka sasa kuna vijana wanona wazungu wapo sahihi kwa kila jambo
Haya we mjuaji wa kila kitu!!Wewe ni jinga.....huelewi rascim wanayofanyiwa watu weusi. Haya yote hayajatoea overnight . Hii ni result ya miaka mingi yauonevu wanaofanyiwa African America. Uliona Pres Obama alichokisema baada ya tukio la juzi? Ungekuwa US wewe ni snitch mkubwa unatetea oppressors.
Mitaa ya harlem uko amerika ni tabu sana kwa mtu mweupe kukatiza me nna braza wangu aliishi pale ingawa hata wao black waliuana wenyeweAsanteee yaan jamaa anataka kutuaminisha kwamba wazungu wanabaguliwa na watu weusi!??daaah hii ni aibu kuwa kibaraka wa wazungu !!!
Mitaa ya harlem uko amerika ni tabu sana kwa mtu mweupe kukatiza me nna braza wangu aliishi pale ingawa hata wao black waliuana wenyewe
mtu mweupe akatizi kwa sababu ya Usalama wake na sio kwasababu anabaguliwa ila kuna mitaa ya wazungu ambapo mtu mweusi hata awe tajiri vipi hawezi kukaa na kama akikaa basi hachukui tym ataamishwa. wazungu wana ubaguzi sanaMitaa ya harlem uko amerika ni tabu sana kwa mtu mweupe kukatiza me nna braza wangu aliishi pale ingawa hata wao black waliuana wenyewe