Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,904
MziziMkavu
Kwani marekani na syria wapi na wapi? marekani ataingiaje kwenye nchi ya watu eti kuwadhibiti waasi ambao hawapo kwake. Awaambie ma mbumbumbu wengine huko wasio jua. Marekani ndiye mwenye ISIS.
Anawapiga watu kiini macho tu.
Sasa kama Marekani ndiye mwenye ISIS kazi ngumu inatoka wapi?
You are contradiction yourself.
Na nyie askari wa Allah kwanini msiwaze mbali? Inaonekana wafuasi wa Mtume Paulo wamewazidi akili. Huu ni msiba. Hivi nyie, mtaendeshwa na kutawalia na wafuasi wa Mtume Paulo mpaka lini?Wanaharibu miundo mbinu ili pindi wakimtoa asad,waweke kibaraka wao kisha makampuni yao ndo yatapewa kandarasi za kujenga upya miundombinu.
jamaa wanawaza mbali sana.
Tuondelee upuuzi wako,unadhani kila mda ni kusikiliza ugoro.Na nyie askari wa Allah kwanini msiwaze mbali? Inaonekana wafuasi wa Mtume Paulo wamewazidi akili. Huu ni msiba. Hivi nyie, mtaendeshwa na kutawalia na wafuasi wa Mtume Paulo mpaka lini?
Hakika Paulo ni kiboko ya Uislam wote mpaka karne zijazo.
Wanaharibu miundo mbinu ili pindi wakimtoa asad,waweke kibaraka wao kisha makampuni yao ndo yatapewa kandarasi za kujenga upya miundombinu.
jamaa wanawaza mbali sana.
Na nyie askari wa Allah kwanini msiwaze mbali? Inaonekana wafuasi wa Mtume Paulo wamewazidi akili. Huu ni msiba. Hivi nyie, mtaendeshwa na kutawalia na wafuasi wa Mtume Paulo mpaka lini?
Hakika Paulo ni kiboko ya Uislam wote mpaka karne zijazo.
Sasa kama Marekani ndiye mwenye ISIS kazi ngumu inatoka wapi?
You are contradiction yourself.
hahahaha!.mkuu unamfundisha Kiranga kizungu?!.shauri zako,ngoja akurudie na ma-synonyms.lol
kwa mini vijana hasa msiojitambua wa Mudy mnaichukia marekani? mbona Saudi Arabia wanaotimia ufahamu wao wapo bega kwa bega na Marekani?
Hapo kwenye nyekundu nafikiri ulitaka kusema you are contradicting yourself. Ok, lakini nimekuelewa. Kwani mimi ndo nimesema marekani ana kazi ngumu? aliyesema hivyo mi ndo nimemjibu marekani ni ISIS mkuu.
Wanaharibu miundo mbinu ili pindi wakimtoa asad,waweke kibaraka wao kisha makampuni yao ndo yatapewa kandarasi za kujenga upya miundombinu.
jamaa wanawaza mbali sana.