Marekani bhana, eti wao hawamo, hata Tanzania yetu pia haimo!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Nimekuwa nikifuatilia hii skandali inayoendelea kuitikisa Dunia inayojulikana kama Panama Papers leaks ambapo Wafanyabiashara, Wanasiasa na Makampuni makubwa yamekuwa yakificha fedha nyingi huko Panama na kukwepa kulipa kodi kwenye nchi zao!

Sasa cha kustaajabisha labda klk vyote ni kwamba ktk hiyo leaks hakuna Mmarekani hata mmoja hivi ni nani ataamini huu upuuzi?
Kama madrug baron wote wako USA iweje akosekane hata mmoja? Makampuni makubwa ya USA kama Apple, Google &Co. hawalipi kodi ndani ya Marekani na wamefungua wanaziiita offshore companies kwa lengo hilo hilo la kukwepa kodi, hata Kampuni kama Pfizer karibia inahama Marekani na kupeleka ofisi sehemu nyingine ili kukwepa kodi sasa ni vigumu sana kuamini kwamba Makampuni kama haya hayamo kwenye Panama leaks!

Na kinachostajaabisha zaidi ni kwamba wale wote walioko kwenye orodha ya Panama leaks ni maadui wa Marekani au nchi ambazo viongozi wake wana ishu na Marekani na kuna baadhi ya nchi zimetolewa muhanga ili tu kuifanya iaminike zaidi!!


Sasa soma chini uone ni nani anayefadhili hao Wahandishi wa Habari walioibua hiyo Panama leaks, ni USAID, open Society hii ni NGO ya Myahudi bilionea wa Kimarekani/Hungary George Soros ambaye ndiye anayefadhili Mapinduzi Duniani kuanzia Arab spring mpaka Ukraine!

Labda utaelewa kwanini ktk hiyo orodha hakuna Mmarekani na kuna watu kama fisadi Lowasa, ukawa &Co. hutaka kuwaaminisha watu kwamba TanZania yetu tuna ugomvi na USA, hakuna kitu kama hicho maadui wa USA wote wamo kwenye Panama leaks sisi hatumo!!




CfKzq_MXIAANzZF.jpg:large


Hizi ndiyo nchi ambazo zimeathiriwa na hiyo Panama leaks, Mungu mkubwa TanZania yetu haimo ina maana sisi tuko upande wa USA wachawi ukawa wanaoimbea nchi yetu mabaya kila siku wakiona hii watatamani kufa kihoro kwa roho mbaya na chuki, lkn chuki yenu kwa Mungu haifui dafu, TanZania yetu tupo upande wa USA (ramani)!

CfJcz9KW8AArBLT.png:large


CfN7DrLXIAEwYTH.jpg:large



 
Back
Top Bottom