Marekani adukua tena

Wao wanadai leak imetokea kwao maana ni picha zimepigwa kabisa sio kwamba ni online, kumbuka agencies zinafanya kazi kwa documents na sio mtandaoni
Je ukakuta ni wao wenyewe wamevujisha baadhi ya taarifa fulani ili wapoteze maboya fulani? Jiulize chukulia mfano waliodukua hizo info ni shirika la ujasusi la nchi fulani walikuwa na sababu gani ya kuzisambaza mtandaoni instead wakae nazo kimya zibaki kama siraha kwao?
 
Kwa jinsi zilivyopigwa picha, zimevujishwa makusudi ila sababu haijulikani
 
Kwa jinsi zilivyopigwa picha, zimevujishwa makusudi ila sababu haijulikani
Yapu yaonekana ni makusudi maana sioni sababu ya mvujishaji kuzipost mtandaoni kama kweli ni shirika la nchi X.
 
Toka huu udukuzi umetangazwa sijaona taarifa kuusu Wagner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…