Marehemu alikuwa mtu hodari, mchapa kazi, mzalendo, mpenda watu, mtu makini, mpole, mkarimu, mwenye hekimu na busara, mtiifu, mchangamfu, mtanashati......!!!!!!
Marehemu alikuwa mtu hodari, mchapa kazi, mzalendo, mpenda watu, mtu makini, mpole, mkarimu, mwenye hekimu na busara, mtiifu, mchangamfu, mtanashati......!!!!!!
Hii ina maanaa kwamba, Tanzania hakuna marehemu ambaye alikuwa na sifa tofauti au kinyume na hizo.....
Sasa kama watu wote wako hivi, wezi, mafisadi, vibaka, wazinzi/washerati, wachovu/wavivu ni akina nani?? Au wanakuwa na sifa hizo ila zinatoweka mara tu baada ya kufa!!