mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 641
Sabakheri Wadau; Kuna Kipind Rafik Yangu Mmoja Alikufa!! Asa Wakati Wa Kumuweka Kule Mortuary Macho Yote Tuliyafumba Na Nilijionea Kwa Macho Yangu! Sasa Kuuleta Mwili Nyumbani! Kufungua Sanduku Tunaona Jicho Moja Limefumbuka!! Mmmh! Kidogo nikimbie Sema Nashukuru Kuna Mzee Alikuja Na Kunisaidia Kwani Aliniona Nilivyokuwa Na Vibrate!! Bas Baada Ya Kuzika Ikabid Niwaone Watu Wazima Na Kuwauliza Nin Chanzo Cha Lile Jambo! Naona Kila Mtu Na Jibu Lake! Ila Mzee Frank Ndo Akaniacha Njia Panda! Eti Ukiona Hvyo Ujue Zako Zimekaribia Pia! Wadau Hembe Nieleweshen Hapo? Hii Sayans Ngumu
mshana jr
mshana jr