Marehemu ashinda uchaguzi Marekani

Marehemu ashinda uchaguzi Marekani

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,426
Mwanachama wa Republican, Dennis Hof aliyefariki mwezi uliopita amechaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Nevada

Amemshinda Mgombea wa Democrats, Lisie Romanov

Kwa mujibu wa Sheria za Jimbo hilo, Chama cha Republican kinaruhusiwa kumteua Mtu mwingine kushika nafasi hiyo

Hof alifariki akiwa na umri wa miaka 72 lakini waandaji wa mchakato uchaguzi walikuwa tayari wamemaliza maandalizi hivyo haikuwezekana kubadilisha

Hof alifahamika kwa kuwa mshabiki na mtu mwenye kumhusudu Rais Trump, akitangaza nia ya kugombea Hof alisema ushindi wa Trump 2016 ulimpa hamasa ya juwania nafasi hiyo

=====

Republican Dennis Hof, a Nevada brothel owner and former reality TV star who died last month, was elected Tuesday to a legislative seat representing a rural southern portion of the state, according to The Associated Press.

Hof was elected to the Assembly District 36, beating Democratic challenger Lesia Romanov, an educator.

State law allows county officials to appoint another Republican to fill the vacancy. The district is located in three counties, Clark, Lincoln and Nye, so three candidates could be identified before a final selection is determined.

At one time, Hof owned a half dozen legal brothels in the state. The 72-year-old's death took place after officials had already mailed ballots. He had been backed in the election by Roger Stone, a former advisor to President Donald Trump, and anti-tax crusader Grover Norquist.

Hof, who had starred in the HBO adult reality series "Cathouse," was found dead Oct. 16 at his Love Ranch brothel about an hour outside Las Vegas. His body was discovered by porn legend Ron Jeremy and a prostitute at the brothel.

He died last month, hours after a combination campaign rally and birthday party, where he was joined by Jeremy, Norquist and immigration hardliner Joe Arpaio, the former Arizona sheriff who was convicted of criminal contempt of court but pardoned by Trump.

Hof said earlier this year that Trump's victory in 2016 helped inspire him to run for office this year.
 
Maajabu. Lakini kushindwa na marehemu ni fedheha
 
Kaaazi kweli kweli walahi
 
okay, kweli watu wana mapenzi kwa chama chao ,wameona bora Mbunge wa kuteuliwa lkn si kuwapa wapinzani

Kule kwao Republican na Democrat ni kama Yanga na Simba huku kwetu, ukishakuwa Yanga basi wewe ni Yanga tu, no matter what.

Mgombea wa Chama kingine kuvuta kura za upande wa pili inabidi awe vizuri sana. Au unakuta chama kimemteua mtu ambaye wanachama hawamkubali, hivyo wanaamua kumpigia mpinzani.
 
ohooo,nimekupata vema mkuu
 
Kwa kuwa ni Muzungu, hata hili house negroes atasifia tu!
 
Back
Top Bottom