NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,288
- 12,789
Tazama penati ama madhambi aliyosababisha beki joash onyango ndani ya penati box, marefa wa CAF hawajang'ata filimbi Bali walifanya kazi zao kiweledi zaidi pasipo kuogopa presha za wachezaji.
Hii ingekua kwa marefa wetu wa NBCPL, hapo hakuna penati Tena na kadi ya njano juu dhidi ya mchezaji atakayelalamika sana kuomba penati.
Mfano mdogo, ni Yale madhambi aliyomfanyiwa kipre jr na shomari kapombe ndani ya penati box, ni dhahiri kabisa ile ni penati lakini refa alimeza filimbi nakujifanya hakuona kabisa.
Tazama mchezo wa simba dhidi ya ihefu kwenye michuano ya FA, refa kutoa kadi kwa ihefu anatoa haraka bila mazungumzo yoyote lakini madhambi hayo hayo wakifanya simba refa anatoa kadi huku akiwa ameishika mkononi anatumia hata dakika moja kwanza anahubiri sana na ndipo anatoa kadi.
Mtazame refa aliyechezesha mchezo wa yanga vs geita kwenye michuano ya kombe la FA, aucho kachezewa lady ndani ya penati box lakini refa kameza filimbi, tazama kadi ya Clement mzinze sijui refa anatafsuri vipi makosa.
Hii inarudisha nyuma maendeleo ya mpira wetu na marefa kubaki kuchezesha mpira ndani ya nchi pasipo kuitwa kwenye mechi za CAF.