Marcio Maximo ni Robertihno mwingine kwenye Ligi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Nahisi kama vile ni mzee sana kumudu kukimbizana na vijana, au macho yangu yananidanganya?.

===

Miaka kadhaa tangu aondoke kwenye ramani ya soka la Tanzania, kocha raia wa Brazil, Marcio Maximo ameibuka upya baada ya kutambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.

Maximo amechukua mikoba ya Kally Ongala ambaye aliondolewa kwenye klabu hiyo kutokana na mwenendo mbovu wa kikosi hicho mwanzoni mwa mwezi Mei mwaka huu.

Maximo anakumbukwa zaidi kwa kipindi chake akiwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars ambaye aliiwezesha timu hiyo kufuzu Michuano ya CHAN kwa mara ya kwanza mwaka 2009.
 
Ngassa mapunda tegete
Enzi za Mwaikimba, Smg, Mexime, Nizar, Shindika

Maximo alikuwa akiamua kumpenda mchezaji atampenda hasa.....na atalindwa kwa gharama yeyote hata kama ni wa hivyohivyo tu.
Na akishamchukia mtu amemaliza......wala hataki hata kumuongelea.

Vipenzi wa maximo walikuwa
Ivo Mapunda, Fuso, Tegete, Makasi, Nditi na Nurdin Bakari.

Wabaya wake
Kaseja, Boban, Chuji, Emmanuel Gabriel
 
Kwa hiyo list, waliosema Maximo alikuwa anaichukia Simba walikuwa sahihi.
 
Nahisi kama vile ni mzee sana kumudu kukimbizana na vijana, au macho yangu yananidanganya?.

===

Miaka kadhaa tangu aondoke kwenye ramani ya soka la Tanzania, kocha raia wa Brazil, Marcio Maximo ameibuka upya baada ya kutambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.

Maximo amechukua mikoba ya Kally Ongala ambaye aliondolewa kwenye klabu hiyo kutokana na mwenendo mbovu wa kikosi hicho mwanzoni mwa mwezi Mei mwaka huu.

Maximo anakumbukwa zaidi kwa kipindi chake akiwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars ambaye aliiwezesha timu hiyo kufuzu Michuano ya CHAN kwa mara ya kwanza mwaka 2009.
Akili haizeeki ila nguvu hupungua

Brain ok but not drive and energy
 
Nahisi kama vile ni mzee sana kumudu kukimbizana na vijana, au macho yangu yananidanganya?.

===

Miaka kadhaa tangu aondoke kwenye ramani ya soka la Tanzania, kocha raia wa Brazil, Marcio Maximo ameibuka upya baada ya kutambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.

Maximo amechukua mikoba ya Kally Ongala ambaye aliondolewa kwenye klabu hiyo kutokana na mwenendo mbovu wa kikosi hicho mwanzoni mwa mwezi Mei mwaka huu.

Maximo anakumbukwa zaidi kwa kipindi chake akiwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars ambaye aliiwezesha timu hiyo kufuzu Michuano ya CHAN kwa mara ya kwanza mwaka 2009.
Mkuu hivi hizi bafasi makocha wanaziomba au wanafwa kutokana na ubora wao kwa wakati huo au historia zao?
 
Nakumbuka kaseja alifurahia sana maximo alivosepa
 
  • Thanks
Reactions: K11
Enzi za Mwaikimba, Smg, Mexime, Nizar, Shindika

Maximo alikuwa akiamua kumpenda mchezaji atampenda hasa.....na atalindwa kwa gharama yeyote hata kama ni wa hivyohivyo tu.
Na akishamchukia mtu amemaliza......wala hataki hata kumuongelea.

Vipenzi wa maximo walikuwa
Ivo Mapunda, Fuso, Tegete, Makasi, Nditi na Nurdin Bakari.

Wabaya wake
Kaseja, Boban, Chuji, Emmanuel Gabriel
Nidhamu muhimu
 
Ongezea Amir Maftah
 
Back
Top Bottom