modesign_finishingcompny
Member
- Nov 28, 2018
- 6
- 1
Tumeshawafundisha weeee ...sasa ni kupita tu au unampa like ya kumfarajiKtk marketing tupo nyuma sana wabongo
JF wameweka mwongozo mzuri kabisa lakini hawaufuati, Bado tuko kwenye ule ujinga wa kuamini kuwa "Chema chajiuza kibaya chajitembeza"Tumeshawafundisha weeee ...sasa ni kupita tu au unampa like ya kumfaraji
Kwa mahitaji ya marble, granite jumla na rejareja na mafundi bora wa kujenga majiko ya marble, Tiles ndani ya nyumba na makaburi(kuweka marble)
Piga / whatsapp 0657441192View attachment 948933
Tofauti ya marble na granite ni nini? Zile za kitchen worktop ni marble au granite? Halafu huwa zina upana fulani nafikiri 60cm urefu ndio huwa unategemea na urefu wa jiko lako unaweza kuziunganisha. Nikipiga kwa square meter ni wazi nilipigwa kwa sababu nilinunua kwenye hardware shop 220,000/- urefu hauzidi 3m!
Marble na granite yote ni mawe yanachimbwa. Kwa kampuni yetu machimbo yako Oman na factory pia. Sisi ni branch tuna import.Tofauti ya marble na granite ni nini? Zile za kitchen worktop ni marble au granite? Halafu huwa zina upana fulani nafikiri 60cm urefu ndio huwa unategemea na urefu wa jiko lako unaweza kuziunganisha. Nikipiga kwa square meter ni wazi nilipigwa kwa sababu nilinunua kwenye hardware shop 220,000/- urefu hauzidi 3m!
Sijajua inaweza ikawa mchina (sina uhakika)Mbona kuna mtu facebook anauza 75,000 kwa square meter!!!!!
Jamani jamani mbona sielewi.
Kwa size sisi inakua kubwa sana tunakukatia kutokana na ukubwa unaotaka siyo lazima 60 cm hata zaidi, kwani, kuna ambao top zao zimezidi 60 . Pia kuna matumizi mwingine kama ngazi n.kTofauti ya marble na granite ni nini? Zile za kitchen worktop ni marble au granite? Halafu huwa zina upana fulani nafikiri 60cm urefu ndio huwa unategemea na urefu wa jiko lako unaweza kuziunganisha. Nikipiga kwa square meter ni wazi nilipigwa kwa sababu nilinunua kwenye hardware shop 220,000/- urefu hauzidi 3m!
Mkubwa paimari hukusomaga ile 'kofia huuzwa dukani mwa daudi senti mia'.................Sqm ndo ina ukubwa gani? Wengije hatujui hivyo vipimo,
Ni kama viwanja wanatangaza kiwanja kinauzwa sqm sh 3000 biashara sh 5000 yani nakuaga sielewiiiiiiiii
nshasahauuuuuuuu kila kituMkubwa paimari hukusomaga ile 'kofia huuzwa dukani mwa daudi senti mia'.................