- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!
Le Mutuz

Htushangazwi na majibu yako.
Hivi hujiulizi raisi wa nchi mwenye mamlaka ya kuagiza karibu kila kitu anashindwa kumshitaki Marando?
Nasema hivi kwasababu najua hawatathubutu kumshitaki.
Nadhani wewe ndiye mtoto,kiakili,huku tu mtaani wananchi wanajua rais na familia yake wanahusika moja kaw moja,ngoja nikuelimishe kwa swali dogo,je inawezekana kwa waziri yeyote kupiga hela bila rais kujua?hata mtoto wa chekechea atasema haiwezikani!unapinga kwakujipendekeza labda unatafuta kitu fulani na ni kwasababu sheria za nchi hii ni mbovu tu,hatavrais alipaswa kuwajibishwa na kufikishwa mahakamani.
Wewe ndiye mbunge wa mtera mtarajiwa!!! Balaa kabisa.- Rais wa Jamhuri aache kazi zake za Taifa akahangaike na no body Marando ni nani kwani?
Le Mutuz
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!
Le Mutuz
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!
Le Mutuz
- Habari imeandikwa na Saeed Kubena kwa niaba ya nani? hahahahahahaha
Le Mutuz
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!
Le Mutuz
Wale Wote wanaotetea wezi wa hela za masikini wa nchi hii walaniwe wao na vizazi vyao na watupwe jehanamu ya moto.- Rais wa Jamhuri aache kazi zake za Taifa akahangaike na no body Marando ni nani kwani?
Le Mutuz