Marais wa nyuma wangeipenda ATCL tusingefika hapa ilipo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Unajua duniani luna kupenda na kuitamani kitu, kilichotokea kwa ATC wengi waliipenda wakati wa uchaguzi baada ya uchaguzi hawakutaka kuisikia kabisa.

Halii hi inampaa changamoto kubwa kwa huyu aliekuwepo kama nae ataipenda kwa dhati na kuiimarisha ATCL.

Sikushangaa kuona wafanyakazi wa serikalii wakikimbilia ndege za prec na fastjet za Mwanza na Kilimanjaro badala ya kupanda ATCL.

Kama maraisi wetu wangeipenda kwadhati ATCL tusingekuwa hapa tulipoo, tunaitaji upendo wa kweli kwa manufaa ya umma.

Tunamtakia mema RAIS MAGUFULI NAAMINI HOFU YA MUNGU JUU YAKE NAYO ITATUSAIDIA KUENDELEZA HILI SHIRIKA.
 
Back
Top Bottom