Marais shupavu kama Magufuli ni wachache sana duniani

Mar 23, 2017
64
89
Kitendo cha Rais kumtumbua Nape Nnauye KIMEONYESHA Rais ni mtu SHUPAVU asiye tanguliza uswahiba KAZINI. Unajua ilifikia wakati Nape alianza kumpanda Rais kichwani eti kisa alimsaidia kwenye kampeni hivyo kujiamini kupindukia. Alianza kukejeli kwa kutuma kwenye Instagram maneno ya kubeza kisa uswahiba. KADI YA NYEKUNDU ALIYOPEWA NA REFA ALIKUWA ANASITAHILI KUPEWA. KWANI KAJITAKIA MWENYEWE HIVYO SIONI SABABU YA MTU KUMPA POLE WAKATI Kaamua kunywa SUMU mwenyewe.
 
Nafwa?hakuna sifa hatutaziona au kuzisikia.Uchumi mzuri.sio.blahblah.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kitendo cha Rais kumtumbua Nape Nnauye KIMEONYESHA Rais ni mtu SHUPAVU asiye tanguliza uswahiba KAZINI. Unajua ilifikia wakati Nape alianza kumpanda Rais kichwani eti kisa alimsaidia kwenye kampeni hivyo kujiamini kupindukia. Alianza kukejeli kwa kutuma kwenye Instagram maneno ya kubeza kisa uswahiba. KADI YA NYEKUNDU ALIYOPEWA NA REFA ALIKUWA ANASITAHILI KUPEWA. KWANI KAJITAKIA MWENYEWE HIVYO SIONI SABABU YA MTU KUMPA POLE WAKATI Kaamua kunywa SUMU mwenyewe.
1490559310998.png
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kutumbua kiongozi haina tija kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya ubabe usio na maana. Nape naye ana feelings zake na ana Uhuru wa kupost anachoona sahihi kwani bundle ni yake, na haitaji kupangiwa.
 
Viroba vishafungiwa Kumbe wengine huzaliwa wamepiga Viroba toka tumboni mwa Mama zao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbona unaonekana ni new member halafu unaanzisha thread zenye maudhui yanayoendana.....
umetumwa na bashite wewe
 
Kitendo cha Rais kumtumbua Nape Nnauye KIMEONYESHA Rais ni mtu SHUPAVU asiye tanguliza uswahiba KAZINI. Unajua ilifikia wakati Nape alianza kumpanda Rais kichwani eti kisa alimsaidia kwenye kampeni hivyo kujiamini kupindukia. Alianza kukejeli kwa kutuma kwenye Instagram maneno ya kubeza kisa uswahiba. KADI YA NYEKUNDU ALIYOPEWA NA REFA ALIKUWA ANASITAHILI KUPEWA. KWANI KAJITAKIA MWENYEWE HIVYO SIONI SABABU YA MTU KUMPA POLE WAKATI Kaamua kunywa SUMU mwenyewe.
Mkuu nabii hakubaliki kwao,,,ila hili la,bashite Mhhh!!!!
 
Back
Top Bottom