Marafiki wabaya huaribu tabia njema

Marafiki wabaya huaribu tabia njema

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,891
Watu wengi wamekuwa wakisingizia shetan anaaribu maisha yo;;penginw kwa kuwa aongei subiri ukimkuta uko utajua ulimsingizia mara ngap;;;tuje kwenye mafa wapendwa kuna watu wengi wamekuwa wakiharibikiwa sababu ya marafiki sikusem wewe ila nasema uhalisia halii hizi zimekuwa worse hata kwenye mahusiano mnaoana umnashndwa kujua rafikigan atanfaaa kwenye ndoa yangu yupi wa kuchuja;;si hivyo hata makazin na shulen wapoo matrafiki unaitaji kuwachuja ikiwezekana unawasahau;;ukisoma kutoka kwenye baibbo ibrahim alifanikiwa baada ya kuachana na babake mzee tera ndipo akaitwa mzee wa baraka mzee wa hekima huyo ni ibrahim nini wewe unanganana na marafiki walevi wazinzi na uko radhi kuvunja ndoa yako kaziyako sababuyao ;kumbuka baibo inasema kwenye mithal marafiki wabaya uhaributabia njema chuja ikiwezekana fyeka uwasahau hayta kama n Pdidy MUNGU AKUPE UJASIRI WA KUJUA NANI RAFKI MWEMA KWAKO AMEN
 
aina yako ya uandishi ni janga...
 
sijui ni zao la Mulugo/60% lakini kwa kweli Pdiddy ni mmoja wa waandishi wabovu mno humu kiasi kwamba huwezi kuelewa anachoongelea/binafsi sijawahi kumwelewa.

Anaandika hazingatii nafasi baina ya maneno, alama, matumizi ya herufi kubwa na /au ndogo wala aya. Juu ya ya yote hayo anatumia kiswahili cha hovyo hovyo...'apo'/hapo, ngap/ngapi.
 
Atakuwa ameathiriwa na Murugo regime 60%,fanya haraka ukatoe maoni kwenye tume ya pinda ...lol.
 
Back
Top Bottom