fahad clay
Member
- Jul 25, 2012
- 35
- 2
tuchat namba yangu *141*01#
Mie nina jinsia zote mbili naruhusiwa kuchati?
So far wahitajika ukaguliwe ! Tuta'aminije ?
Judgement hujafanikiwa kunionea Bishanga hata mtaani hakiangaika kutafuta vigesti? hii fungulia dog noma tangu juzi hajaonekana
ujue kuweni serious! Msifikiri muda wote ni utani!
Utani ndo nani.
Kwa kauli hii, naichana ile talaka. Rudi nyumbani mke wangu. Mke wa ujana wangu.
aluaalualuuuuuuu narudi mume wangu.... ndoa tamu ndoa ina raha yake kuwa mke wa Asprin raha mwanaume anajua shughuli, anajua wajibu wake, mpole mwenye kusamehe....wenye wivu wajinyonge mwaaaaaaaaaaah my hubby
Wivu huna ila roho inauma eeeh? Pole mwayego
Naitwa fahad na katika chitchat ni mgeni.Mi nlikua natafuta marafiki wakike wa kuchat nao nje ya Jf ili tubadilishane mawazo.Sibagui dini,umri,kabila wala rangi.Nyote mnakaribishwa na aliyekua tayari ani-PM kwa mawasiliano zaidi.