Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 727
- 1,846
Nina rafiki yangu flani ivi ni mwanang kinoma, yaan ni wale marafiki since day one.
Mwezi wa tano May, kuna jambo alinifanyia nilichukia sana na sikutegemea kutoka kwake kwasababu ni mwanang sana bora hata ingekuwa amenifanyia mtu baki ila sio yeye. Sitalisema hapa kweny huu uzi ila ilikuwa ni issue ya uchoyo, jamaa alinifanyia uchoyo.
Mwezi uliopita June, jamaa yangu bhana akamtongoza mpenzi wangu, demu mwenyew ndo alikuja kuniambia jamaa yako kanitongoza na kaniambia kila kitu unachonifanyia, kumbe jamaa yangu alimwambia mpenzi wangu mi simpendi nina mademu wengi yeye namchezea tuu, mpenzi wangu alibisha ila jamaa akawataja wale mademu wengine na kumwonesha hadi picha zao hao michepuko yangu, mpenzi wangu wakati ananisimulia hayo alikuwa analia sana na mimi ofcourse nilijisikia vibaya na hasira zilinipanda sana, nikaamua siku nikikutana na jamaa yangu ama zake ama zangu, mmoja anaenda hospitali mwingine anaenda jela, potelea mbali na urafiki. Ila sikumwambia chochote nikabaki kimya.
Okay, so kuna majukumu flani nilipata ikabidi nisafiri kidogo mkoani ila huku Dar kuna mishe zangu nilimwachia mwanang mwingine ambaye hajui chochote kinachoendelea kuhusu mm na jamaa yangu, sasa kuna mchongo flani ukatiki ambao tulikuwa tunaufatilia wote, ila ilihitajika tutoe 3M na kutuma barua na documents na ilihitaji ufuatiliaji sana.
Huwez amini jamaa yangu akanifanyia kila kitu, alinitolea hadi hio 3M na kusimamia show nzima hadi tukapata wote, of course tulikuwa tunafatilia wote so jamaa alivoambia niko mkoa akafanya kila kitu yeye mwenyew.
Sasa hapa wazee nipo nachanganyikiwa, katoka kunifanyia mambo ya kis*nge kweli alaf anakuja kunisaidia jambo la muhimu sana ambalo sidhani kama kuna mtu angeweza kunisaidia ukiachana na yeye.
Bado nam-mind kunitongozea mpenzi wangu.
It's very frustrating.