miguu yake ni kama mikono,anaufanya mpira apendavyo,na si miguu tu bali hadi mabega yalipiga danadanaHahaaaaaaaa ila Maradonna ni wenge sana.. Muhuni muhuni tu
Haahaha Kitambo sana mkuu..bila hiyo signature nisingekutambua!...
Mzima broh.. uwepo wako tu humu jamvini ndio shidaTrue!.. shwari lakini Mzee?.