Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 261
- 295
Mimi sijui hata kama nilishawai kuacha au kuachwa,uwa naona tu hatupo pamoja na maisha yanaendelea.
Mo hata simuelewi uyu mwanamke wa chuo naona tu kila mtu kmya tunaonana kwny ku view status tu basi sjui tuko pamoja au vp
yess BiShoo haswaaAaa
Hahahahah hii noma sana mkuu
Pole