Jini mahaba
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 151
- 39
ninakumbuka CHELSEA kufungwa na SUNDERLAND 1-2, YANGA na SIMBA 1-1
Haya majanga
Kabla hayajaota niliyatamani saana yalipoota nikafrahi saana badae nikaambiwa ni uchafu nilisikitika saana nilipoyakata mara ya kwanza nikiamini hayataota tena nilisita saana nilipoingia bafuni nilisitaa saana nikakumbuka sina Spirt nikaenda kununua Sipirt nilipomaliza kunyoaa nikapaka Sipirt Kilele kubwa ilisikika bafuni................................................... tangu siku hiyo sijwahi tumia spirt tena
wewe unakumbuka nini siku ya kwanza ulipoenda bafuni na Wembe
yani sunderland kuifunga Chelsea na kuondoa record ya kutofungwa uwanja wa nyumbani majanga
Ronaldo arudi uwanjani kwa kishindo tayari kuivaa Atletico Madrid.Kabla hayajaota niliyatamani saana yalipoota nikafrahi saana badae nikaambiwa ni uchafu nilisikitika saana nilipoyakata mara ya kwanza nikiamini hayataota tena nilisita saana nilipoingia bafuni nilisitaa saana nikakumbuka sina Spirt nikaenda kununua Sipirt nilipomaliza kunyoaa nikapaka Sipirt Kilele kubwa ilisikika bafuni................................................... tangu siku hiyo sijwahi tumia spirt tena wewe unakumbuka nini siku ya kwanza ulipoenda bafuni na Wembe
j'pili ijayo ataenda kwa Liverpool, hiyo ndo mechi ngumu itakayojulisha nani bingwa. Baada ya hapo akipige na Norwich nyumbani, then aende kwa Cardiff City. Liver akishinda leo na kumpiga j'pili baaasi..hivi liverpool ikishinda kesho bado kuna matumain ya chelsea kuwa mabingwa wakishinda mechi zilizobaki?
Roho imeumiaje?
j'pili ijayo ataenda kwa Liverpool, hiyo ndo mechi ngumu itakayojulisha nani bingwa. Baada ya hapo akipige na Norwich nyumbani, then aende kwa Cardiff City. Liver akishinda leo na kumpiga j'pili baaasi..
Hahahaha! mwenzio kaumiza kichwa hivyo. angekurupuka sijui ingekuwaje.Hah!!
Na hii ni thread!
Ronaldo arudi uwanjani kwa kishindo tayari kuivaa Atletico Madrid.
hilo jina lako hadi natetemeka.
Jini Mahaba shindwa katika Jina la Yesu!!
Hahahaha! mwenzio kaumiza kichwa hivyo. angekurupuka sijui ingekuwaje.