Mara wanamke mara wanaume

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Mai PIPO 2dai am free Baada ya vuta nikuvute kama SEMENYA kutajulikana ni jinsia gan ila kwa sasa vina saba vmetoa jibu. Wengne mara ooho badilisha Aravata cjui nini haya nimebadilisha lakn kinajua ipo miji2 ambayo pamoja na kufanya hvyo bado wataleta komplein ila mm ni DUME LA MAANA. 2ache hayo 2rud kwny ishu ya maana hv inakuwa vp unapomkuta Mtoto wa kike anatabia za mtoto wa kiume yan matendo yake 2uu au mtoto wa kiume anamatendo au tabia za mtoto wa kike. Na ukimwangalia anamaumbile yote kama muhusika halisi yan ninamaaana ya kwamba ni mwanaume au mwanamke kamil ila tabia zake ndo anakwenda nazo tofaut je ni nini ninachochangia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom