Mara Paaaap. .!! Upako Umeshuka. .....

Mara Paaaap. .!! Upako Umeshuka. .....

Mkuu wa meza amegawa vikapu. ... kwa mikono yangu miwili nimepokea vikapu viwili kila mkono kikapu kimoja.

Mapenzi yake aliye juu yafanyike koote.

Eeeh ozalii. ..
umependelewa sana mikono miwili wengine hata hicho kimoja hola basi uwe na muda mzur kumshukuru Mungu wako mkuu
 
Back
Top Bottom