Mara Paaaap. .!! Upako Umeshuka. .....

Mara Paaaap. .!! Upako Umeshuka. .....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Mmhh hata sijui nisemejee. ..
Tabasamu limefunika uso wote nashindwa kulizuia ni sawa na ukijazwa roho mtakatifu unajikuta tuu unanena kwa lugha bila kujizuia yaani hata ukifunga mdomo unafunguka wenyewe unajikuta tuu umetamka neno usilolifahamu.

Tangu asubuhi nimesha pata marafiki wa nne kwa kuwa tabasamia wao wakidhani nimewafurahia kumbe mie nina yangu, upako umenishukia na kusababisha uso wote umejaa tabasamu heheheheheee.


Acha aitwe Messiah. ..



Kasie mie nina ng'araa...
 
hongera mkuu

Asanteee .......

Yaani nimeanza kupokea tabasamu kwa wengi ninaopishana nao tukigongana macho. Oooh acha siku ya leo iwe na masaa 72 ndo iishe.....
 
Kasie wa masai katika ubora wake

Hahahahahhaaa mbona mchokozi hivoo??

Masai yuko bize na uchaguzi... msalimie lakini.

Upako wa Kongo umenishukia.....
Yazali zambe ya bolingo, yazali zambe ya bolingo yazali zambe ya boboso. .... yazali zambe......
Kasie rahaa sana.
 
Mara Paap Kasie kawa Pastor!!! Hahaha sipati picha!!


Hahahahahahaaa yaani upako umenishukia hadi rahaa
Yazali zambe ya boboso yazali zambe ..........

Kasie nang'ara mie...
 
mkuu umefurahi sana ni nini hicho umepata?

Mkuu wa meza amegawa vikapu. ... kwa mikono yangu miwili nimepokea vikapu viwili kila mkono kikapu kimoja.

Mapenzi yake aliye juu yafanyike koote.

Eeeh ozalii. ..
 
Hahahahahhaaa mbona mchokozi hivoo??

Masai yuko bize na uchaguzi... msalimie lakini.

Upako wa Kongo umenishukia.....
Yazali zambe ya bolingo, yazali zambe ya bolingo yazali zambe ya boboso. .... yazali zambe......
Kasie rahaa sana.
Salam zimefika mama
 
Back
Top Bottom