son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 649
- 1,656
Maneno ya aliyekuwa mkuu wa CIA ya kwamba D.Trump hana mipango madhubuti kuhusiana na Iran sasa yanatimia,juzi Trump alitishia kupiga miundo mbinu ya umeme ya Iran endapo hatoweza kuachia mlango wa Hormuz.
Haikupita siku ambapo hio jana kamanda mkuu wa IRGCC alijitokeza na kusema endapo Iran itapigwa kwenye nishati ya umeme basi Iran Itajibu jibu kali kwa kushambulia miundo mbinu ya umeme ya Israel na nchi zote za ghuba ya uarabuni.
Vyombo vya habari nchini iran vinakanusha hakuna mazungumzo yeyote yaliyofanyika kati ya Tehran na Washington.
NB:mmeshambulia shule zetu hatukulipiza,mmeshambulia hospitali zetu hatukulipiza lakini mkishambulia miundo mbinu yetu ya umeme basi tutashambulia miundo mbinu yenu yote ya umeme na tutafunga kabisa mlango wa Hormus.