Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,898
- 33,712
Mkuu mwanamke halidhishwi kwa ngono,na ngono huwa sio kipaumbele kwa mwanamke.Hivyo,huyo atakuwa anakataliwa na lake jambo lakini sio ngono wala mambo ya show.Kushindwa kufokea na kupiga kisha wewe kuachwa, ni maajabu haya!
Hilo laweza kubeba madhaifu yako mengine ambayo haujayaeleza hapa, ambayo unatakiwa ujitathimini, yaani kuanzia "show" zako pamoja na huduma kwa mamsap.
Wanawake wengi katika mahusiano hawapendi kukelembeshwa kwa maneno pamoja na kudundwa, iweje kwako iwe kinyume?
Waweza kuwa mpole na "msikivu", lakini kama haujipindi kiume kutoa shoo za kibabe, ukawa mchoyo wa kuhesabu finyango za nyama jikoni, hauna stori za maana chumbani, muda wote wewe ni kimya tu hauongeleshi, "mkono wa birika",kutoa matumizi kwa mbinde, kama unazo sifa hizo yakupasa ujirekebishe pakubwa, maana upole wako kwa madhaifu hayo hutoboi.
Ukisikia mwanamme mpole kwa mwanamke, ujue ana kauli thabiti za kimahaba kwa mkewe na anampenda kwa dhati, lakini si mpole kitandani hilo ulijue!
Kama una sifa nilizozieleza hapo juu, jitathimini na uchukue hatua broda.
Aiseh tena kama mie siku nikipata wa mwanaume anajua kupiga atanibonda mnoNi wale wale tu naisha nao huku nao wanapenda ubabe sanaa..
🤣🤣🤣Ndio...pamaoja na mapungufu yako ila unajua kuheshimu mwanaume na de libolo lake
Kuna mmoja alinikera hadi nkahc kutetemeka kwa hasira ...ndo mara yangu ya kwanz kumpiga mtot wa watu mikwenz na mitama na ikawa mwsho wa mahusiano yetu japo kuna muda namkumbuka sanaa ila nkiwazia ujinga alonifanyia naona nlikuw sahihi tuAah Ila kweli
Aiseh tena kama mie siku nikipata wa mwanaume anajua kupiga atanibonda mno
Kwa niniKuna mmoja alinikera hadi nkahc kutetemeka kwa hasira ...ndo mara yangu ya kwanz kumpiga mtot wa watu mikwenz na mitama na ikawa mwsho wa mahusiano yetu japo kuna muda namkumbuka sanaa ila nkiwazia ujinga alonifanyia naona nlikuw sahihi tu
Pole... me nishawai bondwa bn nlilia kwa sauti jamaa alitoa mimacho badae nkapewa ka laki na nusu ya kuombea msamaha nkachukua Ela nkapepea zangu kufanya shopping ya chakula ndani kwanguKuna mmoja alinikera hadi nkahc kutetemeka kwa hasira ...ndo mara yangu ya kwanz kumpiga mtot wa watu mikwenz na mitama na ikawa mwsho wa mahusiano yetu japo kuna muda namkumbuka sanaa ila nkiwazia ujinga alonifanyia naona nlikuw sahihi tu
Haha!kumbe kipgo kwako ni mtego sio?sasa njoo ukutane na sisi tunaopiga bila kulipa uone kama utabak kweny hayo mahusianoPole... me nishawai bondwa bn nlilia kwa sauti jamaa alitoa mimacho badae nkapewa ka laki na nusu ya kuombea msamaha nkachukua Ela nkapepea zangu kufanya shopping ya chakula ndani kwangu
Beba bahati hiyo sasaHongera ,,,watu wanabahati jamani wanazichezea😀wengine tunatafuta wapole Kama hivi wengine wanawapiga teke..😅😅
Sio mtego ye alikua anataka kunipa hako ka pesa nkajinunulie vitu vdg vdg siku nne kabla ya ugomvi.....alivonipiga akaona Cha kunibembelezea ni kipi akanipa pesaHaha!kumbe kipgo kwako ni mtego sio?sasa njoo ukutane na sisi tunaopiga bila kulipa uone kama utabak kweny hayo mahusiano
Ninajua hivyo.Mkuu mwanamke halidhishwi kwa ngono,na ngono huwa sio kipaumbele kwa mwanamke.Hivyo,huyo atakuwa anakataliwa na lake jambo lakini sio ngono wala mambo ya show.
Kwel pesa sabun ya roho...hukujal kwamba ungeweza umizwa na hyo hela isitoshe hata matibabu?Sio mtego ye alikua anataka kunipa hako ka pesa nkajinunulie vitu vdg vdg siku nne kabla ya ugomvi.....alivonipiga akaona Cha kunibembelezea ni kipi akanipa pesa
Mkuu yani pesa sabuni ya roho kweliKwel pesa sabun ya roho...hukujal kwamba ungeweza umizwa na hyo hela isitoshe hata matibabu?
Yani kuumizwa angeniumiza mno sema tu alijizuia maan mwenye kosa nlikua mim alafu nabisha nilichezea vibao viwili nikaaanza kusikia masikion yanafanya zzzzzzzzzzzzzzzzKwel pesa sabun ya roho...hukujal kwamba ungeweza umizwa na hyo hela isitoshe hata matibabu?
Hahaha!tatzo lenu huwa ni wabish sanaa afu unakutana na nunda hatak maelezo mengi due ni kama unamchosha tu....unaishia kula makwenz tuYani kuumizwa angeniumiza mno sema tu alijizuia maan mwenye kosa nlikua mim alafu nabisha nilichezea vibao viwili nikaaanza kusikia masikion yanafanya zzzzzzzzzzzzzzzz
Kama na hapo analeta hotuba za kina mpango ndo basi tena🙌inawezekana pia unapiga Show za upole sana hupendi Show Show... Me nakushauri tu kaza trako pelekea moto uone kama kuna mwanamke atakuletea dharau
Wanawake tuna matatizo sanaHahaha!tatzo lenu huwa ni wabish sanaa afu unakutana na nunda hatak maelezo mengi due ni kama unamchosha tu....unaishia kula makwenz tu