Ni muonekano tu ps4 za fat na slim ni moja, sema kuna ps4 pro ambayo ina quality kubwa zaidi.
Jambo muhimu kama unafanya biashara hakikisha version ya Ps4 yako hajaizidi 9.0.0, kama imezidi hapo kununua cd kunakuhusu.
PS4 Jailbreak - Tutorials & latest information for PS4 Jailbreak and CFW on the current PS4 Firmwares. Get started here to Jailbreak your PS4!
wololo.net