Kama hali ipo hivyo basi tuna maprofesa wa kuchora na taifa lipo kwenye hasara kubwaMagufuli hashauriwi na washauri wake,yeye ndiye anawashauri washauri wake.
Kuna mtu anaitwa Lawrence Mafuru, alikuwa Registrar Hazina. Jamaa ni well respected banker mpaka Charter ya Bankers London wanamtambua.
Magufuli alikuwa anatakakuingilia mfumowa benki,afanye anavyotaka, Mafuru akawa anamwambia unavyotakakufanya ni sawa,ila, inabidi twende kwa hatua, ukifanya mara moja utaharibu mzungukowa fedha na haliitakuwa mbaya sana kiuchumi mtaani.
Magufuliakamuondoa, kwa mfumo wa "atapangiwa kazi nyingine".
Mpaka leo nafikiri anasoma magazeti kama sikosei.
Sasa kama watu wanaona, mtu akimshauri raiskitaalamuanatumbuliwa hivi, wakijua ushauri fulani rais hatautaka, wanaona bora kukaa kimya tu.
Rais anawashauri wao, wanakubali, maamuzi mabaya yanapita.
Ndicho kinachotokea sasa hivi.
Washauri wa rais wanashauriwa na rais.
Sidhani kama hao maprof ndiyo wanaweza mshauri hivyo mheshimiwa
Tafadhali hebu tujikite kwenye mada ya mezani,
Hoja ni kwanini maprofesa ndani ya Serikali ya Magufuli wanashindwa kumshauri vizuri Raisi hadi nchi inaingia kwenye fedheha kubwa kama ile ya Dreamliner ??? Mimi nimekujibu kwamba, tatizo la Tanzania siyo maprofesa na kuharibika kwa ndege hakuhusiani kabisa na teuzi zao. Leo hata Serikali ijae Malaika watakatifu kutoka mbinguni hakuna kikubwa ambacho tunaweza kufanikiwa kwenye nchi yetu.
Nchi ina wasomi wengi wazuri tu lakini hawawezi kufanya jambo lolote kubwa kwasababu nchi ina shida.
Lakini hao wasomi wakienda nje ya nchi hufanya makubwa sana kwanini hujajiuliza hili ???
Magufuli hashauriwi na washauri wake,yeye ndiye anawashauri washauri wake.
Kuna mtu anaitwa Lawrence Mafuru, alikuwa Registrar Hazina. Jamaa ni well respected banker mpaka Charter ya Bankers London wanamtambua.
Magufuli alikuwa anatakakuingilia mfumowa benki,afanye anavyotaka, Mafuru akawa anamwambia unavyotakakufanya ni sawa,ila, inabidi twende kwa hatua, ukifanya mara moja utaharibu mzungukowa fedha na haliitakuwa mbaya sana kiuchumi mtaani.
hello JF,
niseme tu nimesikitishwa na Dreamliner kufanyiwa check up baada ya tripu mbili(sijui ukweli ni upi?)
ila kama ukiangalia vizuri katika teuzi zake Magufuli amejaza maproffessor…
sasa kutokana na haya madudu yanayoendelea kufanyika...
one can conclude weakest link ni hao maproffessor wanaomshauri!
is high time aangalie anapangaje safu yake
wenye PhD walizopata less than fifteen years ago wapewe kipaumbele,
sio hao walizipata kwenye 50's huko…
Especially kama hakuna board inayowafanya waji update,ni ngumu kwao kufanya kazi in ever changing climate..
thanks,
becky
Magufuli hashauriwi na washauri wake,yeye ndiye anawashauri washauri wake...
Washauri wa rais wanashauriwa na rais.
Ukweli mtupu, hao ma "Dinosaur " wamepitwa na wakati, ni kama kina Maghembe! Yaani ni kushinda ofisini, kusoma magazeti, mikutano, kusafiri, chai/kahawa, ubosile mpaka kinyaa, bure kabisa..hello JF,
niseme tu nimesikitishwa na Dreamliner kufanyiwa check up baada ya tripu mbili(sijui ukweli ni upi?)
ila kama ukiangalia vizuri katika teuzi zake Magufuli amejaza maproffessor…
sasa kutokana na haya madudu yanayoendelea kufanyika...
one can conclude weakest link ni hao maproffessor wanaomshauri!
is high time aangalie anapangaje safu yake
wenye PhD walizopata less than fifteen years ago wapewe kipaumbele,
sio hao walizipata kwenye 50's huko…
Especially kama hakuna board inayowafanya waji update,ni ngumu kwao kufanya kazi in ever changing climate..
thanks,
becky
Mimi hiyo habari ya "if you are the smartest person in the room, you are in the wrong room", kuna mijadala mingine nikiona hivyo huwa naondoka JF naenda Quora.Binadamu yeyote asiyetaka kujua au kuona upande wa pili wa Shilingi, katika jambo lolote, ana Shida. Kiongozi ndo kabsa, you have to explore.
"IF YOU'RE THE SMARTEST PERSON IN THE ROOM, YOU'RE IN THE WRONG ROOM"
Smart leaders will go out of their way to soak up the wisdom of others, acknowledging that they don't know it all. And that's how they evolve into Greatness.~~~ Inc.
Mimi hiyo habari ya "if you are the smartest person in the room, you are in the wrong room", kuna mijadala mingine nikiona hivyo huwa naondoka JF naenda Quora.
Naandika kifupi sababu ni mvivu sana kuandika tatizo ni mfumo wa serikali hii tatizo ni mfumo wala sio hao maprofkwa nini mkuu?? embu toa sababu zako...
sijajua kuna maprofeseri wangapi serikalini...
but
sioni mantiki yeye kuwachagua kwenye teuzi,halafu afanye maamuzi ya peke yake....bila kuwashirikisha
na hao maprofeseri wanakula hela za walipa kodi bure...
kwa nini wasijiuzulu wakiona mkuu hataki kuwasikiliza??
ni MAFISADI kama wengine..
Katika maisha ya utawala (administration system) ,kuna kujua jambo lakini ukashindwa kumueleza MTU kwa sababu unamjua Tabia yake,Siyo kwamba maproffessor hawajui,,wanajua sana tena sana isipokuwa wanapuuzwa ,hata ukiwa na mke,Mme ,au hata mahusiano ya kawaida kuna mda unafika unakaa kimya tu,,mfano kunaTafiti nyingi zimefanywa na Watanzania wazalendo lakini zimepuuzwa ,,,Time will Tellhello JF,
niseme tu nimesikitishwa na Dreamliner kufanyiwa check up baada ya tripu mbili(sijui ukweli ni upi?)
ila kama ukiangalia vizuri katika teuzi zake Magufuli amejaza maproffessor…
sasa kutokana na haya madudu yanayoendelea kufanyika...
one can conclude weakest link ni hao maproffessor wanaomshauri!
is high time aangalie anapangaje safu yake
wenye PhD walizopata less than fifteen years ago wapewe kipaumbele,
sio hao walizipata kwenye 50's huko…
Especially kama hakuna board inayowafanya waji update,ni ngumu kwao kufanya kazi in ever changing climate..
thanks,
becky
Quora watumia jina gani mkuuMimi hiyo habari ya "if you are the smartest person in the room, you are in the wrong room", kuna mijadala mingine nikiona hivyo huwa naondoka JF naenda Quora.