maproffessor kwenye serikali ya Magufuli...

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
hello JF,

niseme tu nimesikitishwa na Dreamliner kufanyiwa check up baada ya tripu mbili(sijui ukweli ni upi?)

ila kama ukiangalia vizuri katika teuzi zake Magufuli amejaza maproffessor…

sasa kutokana na haya madudu yanayoendelea kufanyika...

one can conclude weakest link ni hao maproffessor wanaomshauri!

is high time aangalie anapangaje safu yake

wenye PhD walizopata less than fifteen years ago wapewe kipaumbele,

sio hao walizipata kwenye 50's huko…

Especially kama hakuna board inayowafanya waji update,ni ngumu kwao kufanya kazi in ever changing climate..

thanks,

becky
 
Ma prof wa nchi wana taalum ya kupambana na upinzan na kwenda kuupeleka kwa jiwe tuu

Ayo mambo ya Taalum ya mambo ya anga hawayawez

Ndio mana yule Ded wa buyungu baada ya kumaliza kazi ya kishamba kule kigoma

Kaamishiwa huku dar kwa waitara ili kuja kupambana na wapinzan

Huo muda wa kuchunguza mambo ya kitalaam kuhusu ndege watatoa wap?
 
huo ni mfano tu,sijui kwa nini mmeshindwa kuona hio trend inavyokua anapofanya teuzi zake? mmeng'ang'ania drimliner...anyway kosa la nani kwenye dream liner?lol
Kosa la jiwe ila baba hasemwi kwahiyo amna mwenye kosa
 
huo ni mfano tu,sijui kwa nini mmeshindwa kuona hio trend inavyokua anapofanya teuzi zake? mmeng'ang'ania dream liner...anyway kosa la nani kwenye dream liner?lol
Mimi na nani huyo tumeng'ang'ania Dreamliner ???
Halafu mbona unauliza maswali kana kwamba wewe ni mgeni na matatizo ya Tanzania ???
Hivi mpaka leo huujui ugonjwa ambao Tanzania inaumwa kweli ????
 
Magufuli hashauriwi na washauri wake,yeye ndiye anawashauri washauri wake.

Kuna mtu anaitwa Lawrence Mafuru, alikuwa Registrar Hazina. Jamaa ni well respected banker mpaka Charter ya Bankers London wanamtambua.

Magufuli alikuwa anatakakuingilia mfumowa benki,afanye anavyotaka, Mafuru akawa anamwambia unavyotakakufanya ni sawa,ila, inabidi twende kwa hatua, ukifanya mara moja utaharibu mzungukowa fedha na haliitakuwa mbaya sana kiuchumi mtaani.

Magufuliakamuondoa, kwa mfumo wa "atapangiwa kazi nyingine".

Mpaka leo nafikiri anasoma magazeti kama sikosei.

Sasa kama watu wanaona, mtu akimshauri raiskitaalamuanatumbuliwa hivi, wakijua ushauri fulani rais hatautaka, wanaona bora kukaa kimya tu.

Rais anawashauri wao, wanakubali, maamuzi mabaya yanapita.

Ndicho kinachotokea sasa hivi.

Washauri wa rais wanashauriwa na rais.
 
Mimi na nani huyo tumeng'ang'ania Dreamliner ???
Halafu mbona unauliza maswali kana kwamba wewe ni mgeni na matatizo ya Tanzania ???
Hivi mpaka leo huujui ugonjwa ambao Tanzania inaumwa kweli ????

isome topic upya utaona kuna member pia alisema tatizo la Dreamliner sio la maproffessor kama wewe ulivyosema...

kwa hio kila mtu anayepost humu ni kwamba anayajua matatizo ya Tanzania??hili jukwaa lisiwepo basi...

ugonjwa Tanzania inaumwa hata siijui….chill,najua hunipendagi ila kutokuudhi,ingependeza usingechangia nachoandika humu...
 
haya mkuu,lets hope anaisoma hii topic iwe reminder kwake awaconsult wataalam anapotaka kufanya jambo lake
Wataalamu wenyewe wako rohoo juu kuogopa kutumbuliwa, hawawezi bishana nae
 
Kama ni kweli basi kazi ipo
 
Sidhani kama hao maprof ndiyo wanaweza mshauri hivyo mheshimiwa
 
Tafadhali hebu tujikite kwenye mada ya mezani,
Hoja ni kwanini maprofesa ndani ya Serikali ya Magufuli wanashindwa kumshauri vizuri Raisi hadi nchi inaingia kwenye fedheha kubwa kama ile ya Dreamliner ??? Mimi nimekujibu kwamba, tatizo la Tanzania siyo maprofesa na kuharibika kwa ndege hakuhusiani kabisa na teuzi zao. Leo hata Serikali ijae Malaika watakatifu kutoka mbinguni hakuna kikubwa ambacho tunaweza kufanikiwa kwenye nchi yetu.


Nchi ina wasomi wengi wazuri tu lakini hawawezi kufanya jambo lolote kubwa kwasababu nchi ina shida.
Lakini hao wasomi wakienda nje ya nchi hufanya makubwa sana kwanini hujajiuliza hili ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…