Tumeona wataalamu wa kiwango cha uprofesa wanavyo jivika ujinga kwa kutosimamia taaluma yao,mfano shivji.
hivi profesa anaweza kuongea kwa kukiuka alichokisema au kuandika ktk vitabu vyao au majarida .
Tuwaombe maprofesa waadilifu muanze kuwapinga waziwazi hawa maprofesa tumbo ili taaluma hii isianze kudharauliwa na wananchi.mtakapo tembea barabarani tutawatema mate kwa ajili hao wachache.