Maprofea waachane na siasa

Read between the lines, the afore mentioned aren't Tanzanian Profs (and by the way not all of who you mentioned are Profs, not professionally/leave apart the Honorary ones).
Kwa nchi kama marekani ukiwa mwalimu wa chuo kikuu automatically wewe ni faculty professor. Tanzania ni scale kwa walimu wa chuo. Unaanza kama lecturer unapanda weee hadi uufikie uprofessor. Ukweli in that system unajikuta umetengwa na dunia ya kawaida and thats why wanaprove failure wakija uraiani kushika nafasi za kisiasa
 
Ukimuondoa Kapuya kwenye siasa za ccm utampeleka wapi?
 

Nadhani tatizo kubwa ni pale ambapo Profesa anapo pewa wizara halafu anakuta walio chini yake wote elimu yao ni ndogo. Profesa ana-tend kuamini kuwa wale watendaji wake kwa elimu zao ndogo hawawezi kumshauri kitu. Jambo ambalo ni kosa kubwa. Ni pale tu profesa akijishusha na kuamini kuwa akiwapa nafasi walio chini yake kama technical persons wake hufanikiwa kiuongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…