maporomoko ya ardhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maporomoko ya ardhi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edson, Nov 11, 2009.

 1. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  kuna rafiki yangu yuko same amenipigia simu na kusema kuwa kuna maporomoko ya ardhi yametokea huko same kilimanjaro na kuuwa watu wengi.
  naomba mwenye taarifa zaidi alete hapa janvini

  asante
   
 2. T

  Thadeus JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: Nov 24, 2007
  Messages: 267
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ndiyo, ni kweli. Habari zilizotangazwa na Radio One zinasema kuwa inaaminika kwa takriban watu kumi wamepoteza maisha, na huenda idadi ikaongezeka.
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Poleni sana wahanga.
  Lakini kwa sehemu hii inavyojulikana ,inaelekea maporomoko=ukame=deforestation=el nino=maafa
   
 4. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Duh! Hii sasa ni balaa! Juzi kulikuwa na duststorm maeneo ya Kibaigwa karibu na Dodoma, leo maporomoko ya ardhi Same!
   
Loading...